Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuepuka-Maafa. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuepuka-Maafa. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 27 Mei 2018

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Mawazo Juu ya Maafa


Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Mawazo Juu ya Maafa


Utambulisho


Watu wengi hufikiri kuwa jaala yao iko mikononi mwao wenyewe. Lakini wakati maafa yanapokuja, yote tunayohisi ni hali ya kutojiweza, woga, na kitisho, na tunahisi kutokuwa na thamani kwa wanadamu na udhaifu wa maisha…. Ni nani wokovu wetu wa pekee? Filamu ya Kikristo ya muziki—Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu—hivi karibuni itafichua jibu!

Ijumaa, 18 Mei 2018

Bila Ya Wokovu wa Mungu, Singeweza Kuwa Hapa Leo

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Wokovu,

Bila Ya Wokovu wa Mungu, Singeweza Kuwa Hapa Leo

Zhang Jin, Beijing
Agosti 16, 2012
Mimi ni dada mzee mwenye miguu miwili yenye kasoro. Hata wakati hali ya hewa ni nzuri nje, nina shida kutembea, lakini wakati maji ya mafuriko yalipokuwa karibu kunimeza, Mungu aliniruhusu kutoroka hatari kimiujiza.
Ilikuwa Julai 21, mwaka wa 2012. Siku hiyo mvua ya mfoko ilinyesha, na nilikuwa tu nje nikitimiza wajibu wangu. Baada ya saa 10:00 mchana, mvua ilikuwa bado haijaisha. Wakati mkutano wetu ulipomalizika, niliikabili mvua bila woga na kupanda basi kwelekea nyumbani.