Latest Swahili Gospel Movie "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo
Ameonekana Kufanya Kazi Yake
Utambulisho
Yang Hou'en ni mchungaji katika kanisa la nyumbani Uchina. Pamoja na babake Yang Shoudao, wamemngoja Bwana Yesu ashuke kutoka mawinguni na kuwachukua juu hadi katika ufalme wa mbinguni. Kwa ajili ya hili, walimfanyia Bwana kazi kwa bidii, walishikilia imara jina Lake, na kuamini kuwa yeyote ambaye sio Bwana Yesu ashukaye mawinguni ni Kristo wa uongo. Na hivyo, waliposikia habari kuhusu kuja mara ya pili kwa Bwana, hawakuisikiliza wala kuikubali.