Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Majina-na-Utambulisho. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Majina-na-Utambulisho. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 15 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Kuhusu Majina na Utambulisho

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Yesu,
Umeme wa Mashariki | Kuhusu Majina na Utambulisho

Umeme wa Mashariki | Kuhusu Majina na Utambulisho

Mwenyezi Mungu alisema,Iwapo unataka kufaa kwa ajili ya matumizi na Mungu, lazima uijue kazi ya Mungu; lazima uijue kazi Aliyofanya awali (katika Agano Jipya na la Kale), na, zaidi ya hayo, lazima uijue kazi Yake ya leo. Ndiyo kusema, ni lazima uzitambue hatua tatu za kazi ya Mungu ya zaidi ya miaka 6,000. Ukiulizwa ueneze injili, basi hutaweza kufanya hivyo bila kuijua kazi ya Mungu. Watu watakuuliza yote kuhusu Biblia, na Agano la Kale, na nini Yesu alisema na kufanya wakati huo. Watasema, “Mungu wenu hajawaeleza haya yote? Kama Yeye (Mungu) hawezi kuwaeleza ni nini hasa yanayoendelea kwa Biblia, basi Yeye si Mungu; kama Anaweza, basi tumeamini,” Mwanzoni, Yesu alizungumzia sana Agano la Kale na wanafunzi Wake. Kila kitu walichosoma kilitoka Agano la Kale; Agano Jipya liliandikwa tu miongo kadhaa baada ya kusulubiwa kwa Yesu.