Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maslahi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maslahi. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 31 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Kiini cha Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi | kutoka kwa Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, hukumu,
Umeme wa Mashariki | Kiini cha Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi

11. Umeme wa Mashariki | Kiini cha Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi

Zhou Li Mji wa Xintai, Mkoa wa Shandong
Wakati fulani kitambo, tulihitaji kuzichora wilaya katika eneo letu, na kwa msingi wa kanuni zetu kwa ajili ya uteuzi wa viongozi, kulikuwa na ndugu mmoja wa kiume aliyekuwa mtaradhia mzuri kiasi. Nilitayarisha kumpandisha cheo hadi kuwa kiongozi wa wilaya. Siku moja nilipokuwa nikizungumza na ndugu huyu, alitaja kwamba alihisi kuwa nilikuwa mwenye nguvu sana katika kazi yangu, mkali sana, na kwamba katika mkusanyiko pamoja nami hapakuwa na furaha nyingi .... Niliposikia jambo hili, nilihisi kuwa nilikuwa nimedunishwa. Nilihisi vibaya sana; mara moja nikakuza maoni fulani ya ndugu huyu, na sikukusudia tena kumpandisha cheo kuwa kiongozi wa wilaya.