Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Milenia. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Milenia. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 7 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Ufalme wa Milenia Umewasili

Umeme wa Mashariki,  Kanisa la Mwenyezi Mungu,  Kanisa,
Umeme wa Mashariki | Ufalme wa Milenia Umewasili

Umeme wa Mashariki | Ufalme wa Milenia Umewasili

Mwenyezi Mungu alisema, Je, mmeona kazi ambayo Mungu ataikamilisha katika kundi hili la watu? Mungu alisema, hata katika Ufalme wa Milenia watu ni lazima waendelee kufuata matamshi Yake, na katika maisha ya baadaye, matamshi ya Mungu bado yatakuwa yanaongoza maisha ya mwanadamu moja kwa moja kwenda katika nchi ya Kanaani. Musa alipokuwa jangwani, Mungu alimwelekeza na kuzungumza naye moja kwa moja. Kutoka mbinguni Mungu alituma chakula, maji, na mana ili watu waweze kuvifurahia, na leo bado ni hivyo: Mungu mwenyewe ametuma vitu chini kwa ajili ya kula na kunywa ili watu wafurahi, na yeye mwenyewe ametuma laana ili kuwaadibu watu.