Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwenye. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwenye. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 16 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Tamko La Tano

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu . Kanisa la Mwenyezi Mungu,
Umeme wa Mashariki | Tamko La Tano 

Umeme wa Mashariki | Tamko la Tano

Mwenyezi Mungu alisema, Wakati Roho Wangu anatoa sauti, Anaonyesha hali nzima ya tabia Yangu. Je, wewe unalifahamu hili? Kutolifahamu hili katika hatua hii itakuwa sawa na kunipinga moja kwa moja. Je umeona umuhimu ulioko humu? Je, unajua juhudi kiasi gani, kiasi gani cha nguvu, Ninatumia juu yako? Je, unaweza thubutu kuweka wazi kila ulichofanya mbele Yangu? Na mna ujasiri wa kujiita watu Wangu usoni Mwangu—hamna hisia za aibu, pia, bila mantiki yoyote! Wakati mmoja au mwingine, watu kama hawa watafukuzwa kutoka katika nyumba Yangu. Usithubutu kunidanganya, ukifikiri kwamba umesimama kwa ajili ya ushuhuda Wangu!