Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Safari-a-maisha. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Safari-a-maisha. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 17 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Tatu

Umeme wa Mashariki,  Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Tatu

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Tatu

Mwenyezi Mungu alisema,Dhamira Zangu kadhaa zimefichwa ndani ya matamshi ya sauti Yangu. Ila mwanadamu hajui na hafahamu chochote kuhusu haya, huku akiendelea kuyapokea na kuyafuata maneno Yangu kutoka nje bila kung’amua roho Yangu na kuelewa mapenzi Yangu kutoka ndani ya maneno Yangu. Ijapokuwa nimeyaweka maneno Yangu wazi, kuna aliyefahamu? Nilitoka Sayuni Nikaja miongoni mwa wanadamu. Kwa sababu Nimejivisha ubinadamu wa mwanadamu wa kawaida na kujivika ngozi ya mwanadamu, wanadamu hulitambua umbo Langu tu kwa nje ila hawatambui uhai uliomo ndani Yangu, wala hawatambui Mungu Roho, wanajua tu mtu wa mwili.