Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Samaki-wawili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Samaki-wawili. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 8 Februari 2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III | 9. Yesu Atenda Miujiza.

Umeme wa Mashariki | 9. Yesu Atenda Miujiza.

1) Yesu Awalisha Watu Elfu Tano.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Yesu Awalisha Watu Elfu Tano
(Yohana 6:8-13) Mmoja wa wanafunzi wake, Andrea, nduguye Simoni Petro, akamwambia, Yupo mvulana hapa, aliye na mikate mitano ya shayiri na samaki wawili: lakini hivi ni nini kwa watu wengi kama hawa? Naye Yesu akasema, Wafanye watu hawa waketi chini. Na mahali pale palikuwa na majani mengi. Basi wale wanaume wakaketi, wapatao elfu tano kwa jumla. Kisha Yesu akaichukua ile mikate;