Umeme wa Mashariki | Mtu Atarudi Kule Alikotoka
Kwa enzi zote, watu wote wamefuata sheria sawa za kuweko; kutoka kwa maneno yao ya kwanza hadi wakati nywele zao zinapogeuka kijivu, wao hutumia maisha yao yote wakikurupuka huku na kule, hadi hatimaye wanageuka mavumbi …

Awamu Sita katika Maisha ya Binadamu
Mwenyezi Mungu alisema, Katika mkondo wa maisha ya mtu, kila mtu hufikia kwenye misururu ya awamu muhimu. Hizi ni hatua za kimsingi zaidi, na muhimu zaidi, zinazoamua hatima ya maisha ya mtu. Kile kinachofuata ni ufafanuzi mfupi kuhusu mafanikio haya ambayo kila mtu lazima apitie kwenye mkondo wa maisha yake.