Njia ya maisha si kitu ambacho kinaweza kumilikiwa na mtu yeyote tu, wala hakipatikani kwa urahisi na wote. Hiyo ni kwa sababu maisha yanaweza kuja tu kutoka kwa Mungu, ambayo ni kusema, Mungu Mwenyewe tu ndiye Anamiliki mali ya maisha, hakuna njia ya maisha bila Mungu Mwenyewe, na hivyo Mungu tu ndiye chanzo cha uzima, na kijito cha maji ya uzima kinachotiririka nyakati zote. Kutoka Alipoumba dunia, Mungu amefanya kazi kubwa inayoshirikisha uhai wa maisha, Amefanya kazi kubwa ambayo huletea mwanadamu maisha, na Amelipa gharama kubwa ili mtu aweze kupata uzima, kwa kuwa Mungu Mwenyewe ni uzima wa milele, na Mungu Mwenyewe ni njia ambayo kwayo mtu hufufuliwa.
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ukweli-njia-uzima. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ukweli-njia-uzima. Onyesha machapisho yote
Jumatano, 25 Septemba 2019
Jumatatu, 15 Julai 2019
Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya
Mpango wa Mungu wa miaka elfu sita ya usimamizi unaelekea kikomo, na lango la ufalme limefunguliwa kwa wale ambao wanatafuta kuonekana kwa Mungu. Ndugu wapendwa, mnasubiri nini? Mnatafuta nini? Mnasubiri kuonekana kwa Mungu? Mnazitafuta nyayo za Mungu? Kuonekana kwa Mungu kunatamaniwa sana! Ni vigumu, kiasi gani kupata nyayo za Mungu! Katika enzi kama hii, katika dunia kama hii, lazima tufanye nini ili tushuhudie kuonekana kwa Mungu? Sharti tufanye nini ili tufuate nyayo za Mungu? Wale wote wanaosubiri kuonekana kwa Mungu wanakumbana na maswali kama haya.
Jumanne, 11 Juni 2019
Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu “Yule tu Anayepitia Kazi ya Mungu Ndiye Anayemwamini Mungu Kweli”
Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu “Yule tu Anayepitia Kazi ya Mungu Ndiye Anayemwamini Mungu Kweli”
Mwenyezi Mungu anasema, “Baada ya kazi ya Yehova, Yesu Alipata mwili ili Afanye kazi Yake miongoni mwa wanadamu. Kazi Yake haikutekelezwa kivyake, ila ilijengwa juu ya misingi ya kazi ya Yehova. Ilikuwa kazi ya enzi mpya baada ya Mungu kukamilisha Enzi ya Sheria. Vivyo hivyo, baada ya kazi ya Yesu kukamilika, Mungu bado Aliendeleza kazi Yake ya enzi iliyofuata, kwa sababu usimamizi wote wa Mungu huendelea mbele siku zote.
Alhamisi, 17 Mei 2018
Gospel Movie Clip "Siri ya Utauwa" (5) - Namna ya Kujua Kwamba Kristo ni Ukweli, Njia na Uzima
Gospel Movie Clip "Siri ya Utauwa" (5) - Namna ya Kujua Kwamba Kristo ni Ukweli, Njia na Uzima
Utambulisho
Kupata mwili kwa Mungu wote wawili wanashuhudia kwamba "Kristo ni ukweli, njia na uzima." Kwa inasemwa kwamba Kristo ni ukweli, njia na uzima? Na wale mitume na watu wakuu wa kiroho waliomfuata Bwana Yesu pia walisema mambo mengi, mambo ambayo ni ya manufaa makubwa kwa mwanadamu, kwa hiyo mbona wao si ukweli, njia na uzima?
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)

