Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Uishi-kama-watu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Uishi-kama-watu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 1 Februari 2018

Hatimaye Naishi kwa Kudhihirisha Kiasi Kama Mwanadamu | Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Injili,
Hatimaye Naishi kwa Kudhihirisha Kiasi Kama Mwanadamu

Hatimaye Naishi kwa Kudhihirisha Kiasi Kama Mwanadamu

Xiangwang Mkoa wa Sichuan
Ninahisi kuadibiwa sana moyoni mwangu kila mara ninapoona kwamba maneno ya Mungu yanasema: “Wanadamu dhalimu, wakatili! Kufumba macho na kula njama, kusukumana, kung’ang’ania sifa na mali, kuuana—haya yote yataisha lini? Mungu amezungumza maelfu na mamia ya maneno, ilhali hakuna hata mmoja ambaye amejifahamu. Wanatenda matendo kwa ajili ya familia zao na watoto wao, kazi zao, matarajio, hali katika jamii, majivuno na pesa, kwa sababu ya nguo, kwa sababu ya chakula na mwili—matendo ya nani kwa kweli ni kwa ajili ya Mungu? Hata miongoni mwa wale ambao matendo yao ni kwa ajili ya Mungu, ni wachache tu wanaomfahamu Mungu. Ni wangapi wanaotenda matendo yasiyo kwa maslahi yao? Ni wangapi wasiobagua na kuonea wengine wakiwa na nia ya kudumisha hali yao? Ndivyo Mungu amehukumiwa kifo mara nyingi kwa nguvu, mahakimu katili wasiohesabika wamemhukumu Mungu na mara nyingine tena wakamsulubisha msalabani