Swahili Gospel Song Video "Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu" | God Guided Me to a New Life
I
Tumeletwa mbele ya Mungu. Maneno Yake tunakula na kunywa.
Roho Mtakatifu anatupa nuru, tunaelewa ukweli anaonena Mungu.
Mila za dini, tumezitupa, minyororo yote. Isiyozuiliwa na sheria, mioyo yetu inawekwa huru.
Na sisi tunafurahi iwezekanavyo, tukiishi katika nuru ya Mungu,
kufurahi iwezekanavyo, kuishi katika nuru ya Mungu.
Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, anayeonyesha ukweli kwa wanadamu wote.
Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu,
tuna njia ya kubadilika, na imani yetu isiyo dhahiri inapungua.
Tunaimba sifa, ee.