Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wilderness. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wilderness. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 13 Februari 2018

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V | Utakatifu wa Mungu (II) | 4. Majaribu ya Shetani

Umeme wa Mashariki | 4. Majaribu ya Shetani

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Bwana Yesu,
Bwana Yesu hujaribiwa - mawe kuwa chakula

Mwenyezi Mungu alisema, (Mat 4:1-4) Kisha Yesu akaongozwa na Roho kwenda nyikani ili ajaribiwe na Ibilisi. Na baada ya kufunga siku arobaini mchana na usiku, mwishowe alihisi njaa. Na mjaribu alipomjia, alimwambia, Ukiwa wewe ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate. Lakini Yesu akamjibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate peke yake, ila kwa kila neno linalotoka katika kinywa cha Mungu. Haya ndiyo maneno ambayo ibilisi kwanza alijaribu kumjaribu Bwana Yesu. Ni nini maudhui ya aliyoyasema ibilisi? Endelea na uyasome. Ukiwa wewe ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate Ibilisi alisema maneno haya, ambayo yalikuwa rahisi kiasi, lakini kuna shida na maudhui muhimu ya maneno haya?