Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo halisi-ya-roho. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo halisi-ya-roho. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 18 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Saba

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Saba

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Saba

 Mwenyezi Mungu alisema, Sauti Yangu inatoka kama radi, ikitia nuru roboduara zote nne na dunia nzima, na katikati ya radi na umeme, binadamu wanaangushwa chini. Hakuna mwanadamu aliyewahi kusimama imara katikati ya radi na umeme: Wanadamu wengi wanaogopa sana kuja kwa mwangaza Wangu na hawajui cha kufanya. Wakati mwangaza hafifu unaanza kuonekana Mashariki, watu wengi, wakiongozwa na huu mng’ao dhaifu, wanaamshwa mara moja kutoka kwa njozi zao.