Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kamwe-kutotenganishwa-tena. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kamwe-kutotenganishwa-tena. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 18 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Nane

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Umeme wa Mashariki | Tamko La Kumi Na Nane

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Nane

 Mwenyezi Mungu alisema,Katika mwako wa umeme, kila mnyama hufichuliwa katika hali yake halisi. Hivyo pia, kama wameangaziwa na mwanga Wangu, wanadamu wamepata tena utakatifu waliokuwa nao wakati mmoja. Oh, ya kwamba dunia potovu ya zamani mwishowe imeanguka na kutumbukia ndani ya maji ya taka na, kuzama chini ya maji, na kuyeyuka na kuwa tope! Ah, ya kwamba binadamu wote Niliouumba hatimaye umerudiwa na uhai tena katika mwanga, kupata msingi wa kuwepo, na kuacha kupambana katika tope! Ah, Mambo mengi ya uumbaji Ninayoyashikilia mikononi Mwangu!