Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumpata-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumpata-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 13 Desemba 2017

Kuwa na Tabia Isiyobadilika Ni Kuwa katika Uadui na Mungu

Umeme wa Mashariki,  Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Umeme wa Mashariki | Kuwa na Tabia Isiyobadilika ni Kuwa Katika Uadui na Mungu

Kuwa na Tabia Isiyobadilika Ni Kuwa katika Uadui na  Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Baada ya miaka elfu kadhaa ya upotovu, mwanadamu amekuwa asiyehisi na mpumbavu, pepo anayempinga Mungu, kwa kiasi kwamba uasi wa mwanadamu kwa Mungu umeandikwa katika vitabu vya historia, na hata mwanadamu mwenyewe hana uwezo wa kutoa ripoti kamili ya tabia zake za uasi wake—kwa kuwa mwanadamu amepotoshwa sana na Shetani, na amehadaiwa na Shetani kiasi kwamba hajui ni wapi pa kugeukia. Hata wa leo, mwanadamu bado anamsaliti Mungu: Wakati mwanadamu anamwona Mungu, anamsaliti, na wakati yeye hawezi kumwona Mungu, bado anamsaliti.