Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mabadiliko-katika-tabia-yangu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mabadiliko-katika-tabia-yangu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 22 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | Siri Zilizofichwa Nyuma ya Ukimbizaji

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, wokovu,

Umeme wa MasharikiSiri Zilizofichwa Nyuma ya Ukimbizaji

Li Li     Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong
Sio muda mrefu uliopita, nilitiwa moyo na Mungu na kupandiswa cheo kuwa mfanyakazi wa eneo. Siku moja, nilipokuwa nimekusanyika na wafanyakazi wenzangu, sikuweza kujizuia kufikiria mwenyewe: ni lazima nifanye vyema. Ningetimiza wajibu wangu vibaya, viongozi wangu na wafanyakazi wenzangu wangenionaje? Matokeo yake yalikuwa, tulipozungumzia mada fulani pamoja, almradi nilikuwa na ufahamu kidogo wa mada hiyo, basi ningejaribu kuwa wa kwanza kusema kitu, hata hivyo wakati sikuwa na ufahamu wa mada iliyojadiliwa na sikuweza kusema chochote, nilijipata nikiwa na wasiwasi.