Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mwongozo-Wangu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mwongozo-Wangu. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 16 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Tamko la Sita

Umeme wa Mashariki,  Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Umeme wa Mashariki | Tamko la Sita

Umeme wa Mashariki | Tamko la Sita

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa masuala ya ndani ya roho, unapaswa kuwa makini kwa utaratibu; kwa maneno Yangu, unapaswa kuwa msikivu kwa makini. Unapaswa kulenga hali ambayo unaona Roho Yangu na nafsi Yangu ya mwili, maneno Yangu na nafsi Yangu ya mwili, kama kitu kimoja kizima kisichogawanyika, na kufanya kuwa binadamu wote wataweza kuniridhisha mbele Yangu.