Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo sheria-za-kuishi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo sheria-za-kuishi. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 30 Aprili 2018

Swahili Gospel Praise Music "Kila Kitu Kinaishi Chini ya Sheria na Masharti Yaliyowekwa na Mungu"

Swahili Gospel Praise Music "Kila Kitu Kinaishi Chini ya Sheria na Masharti Yaliyowekwa na Mungu"

Utambulisho

Miaka elfu kadhaa imepita,
na mwanadamu angali anafurahia nuru na hewa aliyopewa na Mungu,
angali anapumua pumzi iliyotolewa na Mungu Mwenyewe,
angali anafurahia maua, ndege, samaki na wadudu walioumbwa na Mungu,
na kufurahia viumbe vyote vilivyotolewa na Mungu;
mchana na usiku zingali zinabadilishana nafasi zao bila kusita;
hiyo misimu minne inabadilishana kama kawaida;
nayo batabukini wanaopaa wanaondoka msimu huu wa kipupwe,
lakini bado watarudi kwenye msimu ujao wa machipuko;
samaki ndani ya maji hawajawahi kuondoka kwenye mito, maziwa—maskani yao.