Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo utaratibu-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo utaratibu-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 29 Julai 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote"

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote"

Utambulisho

Kanisa la Mwenyezi Mungu |  neno la Mungu Nyimbo za Video | "Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote"

I
Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia,
unaanza kutenda wajibu wako.
Katika mpango na utaratibu wa Mungu, unachukua nafasi yako,
na unaanza safari ya maisha.
Vyovyote vilivyo msingi wako ama safari iliyo mbele yako,
hakuna anayeweza kuepuka utaratibu na mpango ambao Mbingu imeweka,
na hakuna aliye na amri juu ya hatima yake,
kwani ni Yule tu anayetawala juu ya vitu vyote ndiye ana uwezo wa kazi kama hii.