Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ya-wokovu-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ya-wokovu-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 23 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Moja

Umeme wa Mashariki,  Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Moja

Mwenyezi Mungu alisema, Mwanadamu huanguka katikati ya mwanga Wangu, na anasimama imara kwa sababu ya wokovu Wangu. Niletapo wokovu ulimwenguni kote, mwanadamu hujaribu kutafuta njia za kuingia miongoni mwa mtiririko wa marejesho Yangu, ilhali kuna watu wengi ambao huoshwa wasijulukane waliko na gharika hii ya urejesho; kuna watu wengi ambao wamezama na kumezwa na mafuriko haya na kuna watu wengi pia ambao husimama imara huku kukiwa na mafuriko, ambao hawajawahi kupoteza hisia zao za mwelekeo, na ambao wamefuata mafuriko mpaka sasa.