Jumanne, 14 Agosti 2018

Wale Wasiopatana na Kristo Hakika Ni Wapinzani wa Mungu

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, kumjua Mungu,

Wale Wasiopatana na Kristo Hakika Ni Wapinzani wa Mungu

Watu wote wana tamaa ya kuona uso wa kweli wa Yesu na kutaka kuwa pamoja Naye. Naamini kuwa hakuna mmoja wa ndugu au dada anayeweza kusema kwamba yeye hana nia ya kumwona au kuwa pamoja na Yesu. Kabla ya nyinyi kumwona Yesu, yaani, kabla ya nyinyi kumwona Mungu Aliye kwenye mwili, mtakuwa na mawazo mengi, kwa mfano, kuhusu sura ya Yesu, njia Yake ya kuzungumza, njia Yake ya maisha, na kadhalika. Hata hivyo, wakati mnamwona hasa, mawazo yenu yatabadilika haraka. Ni kwa nini?

Jumatatu, 13 Agosti 2018

Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo

Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo

Mwenyezi Mungu alisema, Nimefanya kazi kubwa miongoni mwa binadamu, na maneno ambayo Nimeeleza wakati huu yamekuwa mengi. Maneno haya ni kwa ajili ya wokovu wa mwanadamu, na yalikuwa yanaeleza ili binadamu aweze kulingana na Mimi. Ilhali Nimewapokea watu wachache tu duniani ambao wanalingana na Mimi, na hivyo Nimesema kwamba binadamu hathamini maneno Yangu, kwa kuwa binadamu halingani na Mimi. Kwa njia hii, kazi ambayo Naifanya sio tu kwa ajili ya mwanadamu aweze kuniabudu; muhimu zaidi, ni kwa ajili ya mwanadamu aweze kulingana na Mimi.

Jumapili, 12 Agosti 2018

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Saba

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Saba

Kwa kweli, maneno yote kutoka katika kinywa cha Mungu ni mambo ambayo wanadamu hawayajui; yote ni lugha ambayo watu hawajasikia, kwa hiyo inaweza kusemwa hivi: Maneno ya Mungu yenyewe ni siri. Watu wengi kwa kutojua wanaamini kwamba ni mambo tu ambayo watu hawawezi kutimiza kimawazo, mambo ya mbinguni ambayo Mungu anawawezesha watu kuyajua sasa, au ukweli kuhusu kile Mungu anachofanya katika ulimwengu wa kiroho ni siri.

Jumamosi, 11 Agosti 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Mbili

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Mbili

Mwenyezi Mungu alisema, Sijui kama watu wameona mabadiliko yoyote katika tamko la leo. Huenda watu wengine wameona kidogo, lakini hawathubutu kusema kwa kweli. Labda wengine hawajatambua chochote. Mbona kuna tofauti kubwa sana hivyo kati ya siku ya kumi na mbili na ya kumi na tano ya mwezi? Umetafakari hili? Maoni yako ni gani? Umeelewa chochote kutokana na matamko yote ya Mungu? Ni kazi gani kuu iliyofanywa kati ya tarehe mbili Aprili na tarehe kumi na tano Mei?

Ijumaa, 10 Agosti 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Tisa

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Tisa

Kila siku Natembea juu ya ulimwengu, Nikiangalia kwa makini vitu vyote vilivyoumbwa kwa mkono Wangu. Juu ya mbingu ni mahali Pangu pa pumziko, na chini yake ni nchi ambayo Natembea. Natawala kila kitu miongoni mwa vyote vilivyoko, Naamuru kila kitu miongoni mwa vitu vyote, Nikisababisha vyote vilivyoko kufuata hali halisi ya maisha na kutii amri ya asili. Kwa sababu Nawadharau wale wasiotii, na Nawachukia sana wale wanaonipinga na wasiojiunga na wengine, Nitafanya kila kitu kuwa chini ya utaratibu Wangu, bila kupinga, Nitafanya kila kitu ndani ya ulimwengu kiwe na mpango. Nani bado anathubutu kunipinga apendavyo? Ni nani anayethubutu kutotii utaratibu wa mkono Wangu? Mwanadamu anawezaje kupenda hata kidogo kuasi dhidi Yangu? Nitawaleta watu mbele ya "babu” zao, Nitawafanya babu zao wawaongoze kurudia jamii zao, na hawataruhusiwa kuasi dhidi ya babu zao na kurudi upande Wangu.

Alhamisi, 9 Agosti 2018

Swahili Christian Praise Song "Anga Hapa ni Samawati Sana" | The Kingdom of God Has Already Descended


Utambulisho


Swahili Christian Praise Song "Anga Hapa ni Samawati Sana" | The Kingdom of God Has Already Descended

I
Aa ... hii hapa anga,
oh ... anga iliyo tofauti sana!
Harufu ya kupendeza inasambazwa kote kwenye nchi, na hewa ni safi.
Mwenyezi Mungu alikuwa mwili na anaishi miongoni mwetu,
Akionyesha ukweli na kuanza hukumu ya siku za mwisho.

Jumatano, 8 Agosti 2018

Filamu za Kikristo "Ni Nani Anayemsulubisha Mungu Tena"


Utambulisho


Kanisa la Mwenyezi Mungu Filamu za Injili | Filamu za Kikristo "Ni Nani Anayemsulubisha Mungu Tena"

Go Shoucheng ni mchungaji katika kanisa la nyumbani huko China. Amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na amekuwa akishughulikia kwa mahubiri yake kwa uthabiti, na amekuwa kila mahali akihuburu injili. Amekamatwa na kutiwa jelani kwa sababu ya kuhubiri injili, na kukaa miaka kumi na miwili gerezani. Baada ya kuondoka gerezani, Gu Shoucheng aliendelea kufanya kazi kanisani.