Fu Jinhua alikuwa mzee wa
kanisa la nyumba nchini China. Kama Wakristo wengine wengi, alijitolea kwa Bwana kwa shauku kubwa, na alifanya kazi kwa bidii katika kazi yake kwa ajili Yake. Alikuwa hasa mwenye kujiamini, na alijiona kuwa mtu ambaye alimpenda Bwana kweli. Baada ya kumfuata Bwana kwa miaka mingi, aliamini kwa moyo wote kwamba
Biblia ilikuwa imefunuliwa na Mungu, na kwamba maneno katika Biblia yote yalikuwa maneno ya Mungu. Kwa hivyo, akilini mwake, alilinganisha kuamini katika Bwana na kuamini katika Biblia. Alidhani kwamba wale walioachana na Biblia hawakuweza kuitwa wafuasi wa Bwana. Pia aliamini kwamba alihitaji tu kufuata Biblia ili kuchukuliwa kuenda katika ufalme wa mbinguni Bwana atakaposhuka na mawingu.
Hivyo wakati ambapo kikundi cha watu kilianza kushuhudia kazi ya
Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, Fu Jinhua aliamini katika dhana potovu za wachungaji na wazee wa kanisa wa kidini, na kamwe hakutafuta kuchunguza mambo zaidi. Siku moja, Fu Jinhua alimtembelea Dada He, mshiriki mwenza wa kanisa. Dada He alizungumza juu ya kiwewe chake mwenyewe: "Unabii wote juu ya kurudi kwa Bwana umetimia kimsingi, na Bwana anatakiwa kuwa amesharudi tayari. Hivyo kwa nini bado hatujamwona Bwana akishuka pamoja na mawingu?" Mfanyakazi mwenzake Fang Jianjie pia alisema: Miezi minne ya damu imeonekana, ambayo ina maana kwamba maafa makubwa yatatujia hivi karibuni. Kulingana na unabii kutoka katika vitabu vya manabii na Kitabu cha Ufunuo, Kanisa la Filadelfia litachukuliwa kwenda mbinguni kabla ya maafa makubwa, na Mungu atawastawisha watumishi na wajakazi Wake kwa Roho Wake ili kukamilisha kundi la washindi kabla ya maafa. Tusipochukuliwa kwenda mbinguni kabla ya majanga, huenda tutaangamia kati ya majanga haya makubwa. Lakini sasa, "
Umeme wa Mashariki" limeshuhudia kwamba
Bwana Yesu tayari amerejea, Ameonyesha ukweli, na kufanya kamili kundi la washindi. Je, hili linatimiza unabii kutoka katika Biblia? Je, Umeme wa Mashariki ni onyesho la Bwana na kazi Yake? Baada ya kuwasikiliza wafanyakazi wenza, Fu Jinhua aliingia katika mawazo ya kina na akaanza kuyakadiria mambo haya …
|
Ivunje Laana |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni