Jumanne, 11 Septemba 2018

Matamshi ya Roho Mtakatifu | "Mazungumzo Mafupi Kuhusu 'Ufalme wa Milenia Umefika'"

Utambulisho


Matamshi ya Roho Mtakatifu | "Mazungumzo Mafupi Kuhusu 'Ufalme wa Milenia UmefikaπŸŽ¬πŸ˜‡πŸ‘'"


Mwenyezi Mungu alivyosema, "Wakati wa Enzi ya Ufalme wa Milenia, watu tayari watakuwa wamefanywa wakamilifu, na tabia mbovu ndani yao zitakuwa zimetakaswa.

Swahili Praise and Worship Song "Ushuhuda wa Maisha" | Overcomers' Testimonies

πŸŽ¬πŸ‘€πŸ‘ **********     πŸ’“πŸ’“πŸ’“~~~~🎼🎼     → → πŸŽ™️πŸŽ™️

Swahili Praise and Worship Song "Ushuhuda wa Maisha" | Overcomers' Testimonies


Siku moja huenda nikakamatwa na kuteswa na CCP,
kuteseka huku ni kwa ajili ya haki, ambayo najua moyoni mwangu.
Maisha yangu yakitoweka mara moja ghafla bin vu,
bado nitasema kwa fahari kwamba nimemkubali Kristo wa siku za mwisho.
Ikiwa siwezi kuona tukio kuu la ukuaji wa injili ya ufalme,
bado nitatoa matarajio mazuri zaidi.

Jumatatu, 10 Septemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Christian Skit | "Polisi Waenda kwa Ziara ya Mwaka Mpya" (Kichekesho)


πŸŽ¬πŸ‘€πŸŽ¬~~~~πŸ˜‡πŸ‘πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»~~~~🌺🌺🌺    **********     πŸ’“πŸ’“πŸ’“~~~~🌺🌺🌺🌺 

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Christian Skit | "Polisi Waenda kwa Ziara ya Mwaka Mpya" (Kichekesho)


Zheng Xinming, mwanamume mzee wa karibu miaka sabini, ni Mkristo wa dhati. Kwa sababu ya imani yake katika Bwana, aliwekwa kizuizini na kufungwa gerezani, na kuhukumiwa miaka nane. Alipoachiliwa, bado alikuwa ameorodheshwa na Polisi wa Kikomunisti wa China kama mlengwa wa ufuatiliaji wa kuzingatiwa.

Katika Enzi ya Ufalme, Neno Linatimiza Kila Kitu

Katika Enzi ya Ufalme, Neno Linatimiza Kila Kitu

πŸ“–πŸ“–~~~🎼🎼     → → πŸŽ™️πŸŽ™️  ↓↓    πŸ˜ŠπŸ˜Š
I
Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anaikaribisha enzi mpya na neno.
Anabadilisha mbinu ya kazi Yake, anafanya kazi ya enzi nzima na neno.
Hii ni kanuni ambayo Mungu anafanya kazi nayo katika Enzi ya Neno.

Jumapili, 9 Septemba 2018

Umuhumi wa Maombi

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Maombi,

Umuhumi wa Maombi

🎼🎼     → → πŸŽ™️πŸŽ™️  ↓↓    πŸ˜ŠπŸ˜Š 
I
Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu,
kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu.
Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo utakavyoguswa zaidi, kutiwa nuru na kuwa na mawazo ya nguvu zaidi.
Watu kama hao wanaweza kufanywa kamili hivi karibuni.

Jumamosi, 8 Septemba 2018

4. Uhusiano Kati ya Kila Mojawapo ya Awamu Tatu za Kazi ya Mungu

Sura ya 3 Ukweli Kuhusu Awamu Tatu za Kazi ya Mungu

4. Uhusiano Kati ya Kila Mojawapo ya Awamu Tatu za Kazi ya Mungu

Maneno Husika ya Mungu:
Kutoka kwa kazi ya Yehova mpaka ile ya Yesu, na kutoka kwa kazi ya Yesu hadi kwa kazi iliyoko kwa awamu hii ya sasa, awamu hizi tatu zinajumlisha upana wote wa usimamizi wa Mungu, na zote ni kazi za Roho mmoja. Kutoka Alipoumba ulimwengu, Mungu Amekuwa Akisimamia wanadamu. Yeye ndiye Mwanzo na ndiye Mwisho; Yeye ndiye wa Kwanza na wa Mwisho, na Yeye ndiye mwanzilishi wa enzi na Yeye ndiye huleta enzi kwenye kikomo. Awamu tatu za kazi, katika enzi tofauti na maeneo mbalimbali, hakika yanafanywa na Roho mmoja. Wote ambao wanatenganisha awamu hizi tatu wanampinga Mungu.

3. Kusudio na Umuhimu wa Kila Mojawapo ya Awamu Tatu za Kazi ya Mungu

Sura ya 3 Ukweli Kuhusu Awamu Tatu za Kazi ya Mungu

3. Kusudio na Umuhimu wa Kila Mojawapo ya Awamu Tatu za Kazi ya Mungu

Maneno Husika ya Mungu:
Kazi ambayo Yehova alifanya kwa Waisraeli ilianzisha mahali pa Mungu pa asili miongoni mwa binadamu, ambapo pia palikuwa pahali patakatifu ambapo Alikuwapo. Aliwekea kazi Yake mipaka kwa watu wa Israeli. Mwanzoni, Hakufanya kazi nje ya Israeli; badala yake, Aliwachagua watu Aliowaona kuwa wa kufaa ili kuzuia eneo la kazi Yake. Israeli ni mahali ambapo Mungu aliwaumba Adamu na Hawa, na kutoka katika mavumbi ya mahali hapo Yehova alimuumba mwanadamu; mahali hapa pakawa kituo cha kazi Yake duniani. Waisraeli, ambao walikuwa wa ukoo wa Nuhu na pia wa ukoo wa Adamu, walikuwa msingi wa kibinadamu wa kazi ya Yehova duniani.