Jumatano, 6 Juni 2018

Umeme wa Mashariki | Hakuna Anayeweza Kufanya Kazi Badala Yake

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Nyimbo,



Umeme wa MasharikiHakuna Anayeweza Kufanya Kazi Badala Yake

Kazi ya Mungu hufanywa na Mungu Mwenyewe.
Ni Yeye ndiye Anayeianzisha kazi Yake, na ni Yeye anayeikamilisha.
Ni Yeye anayeipanga kazi.
Ni yeye ndiye anayeisimamia, na zaidi kuifanikisha kazi hiyo.
Ni kama ilivyosemwa katika Biblia,
“Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho;
Mungu ndiye Mpanzi na tena Mvunaji.”
“Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho;
Mungu ndiye Mpanzi na tena Mvunaji, na tena Mvunaji.”
Yote yanayohusiana na kazi Yake ya usimamizi yanafanywa na mkono Wake,
yanafanywa na mkono Wake.
Mungu ndiye Mtawala wa mpango wa usimamizi wa miaka 6,000.
Hakuna yeyote anayeweza kufanya kazi Yake kwa niaba Yake.
Hakuna yeyote, hakuna yeyote ambaye anaweza kuitamatisha kazi Yake,
kwa kuwa Yeye anadhibiti kila kitu.
Kwa kuwa Aliuumba ulimwengu, 
Atauongoza ulimwengu wote kuishi katika mwanga Wake, kuishi katika mwanga Wake.
Kwa kuwa Aliuumba ulimwengu,
Atauongoza ulimwengu mzima,
Atauongoza ulimwengu wote kuishi katika mwanga Wake,
na Ataitamatisha enzi nzima kuufikisha mpango Wake wote kwa mafaniko,
kuufanikisha mpango Wake wote!
Kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Biblia inasema: "Kwa maana kama umeme unatoka mashariki, na huangaza mpaka magharibi; ndivyo pia kuja kwake Mwana wa Adamu kuwa." Mwenyezi Mungu, Kristo wa Siku za Mwisho, ameelezea kweli kubwa ya kumwokoa mwanadamu na kumkamilisha . Watu wengi kutoka madhehebu tofauti wanaotamani kweli na kuamini Mungu wamethibitisha kuwa Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu aliyerudi baada ya kutafuta na kuchunguza neno la Mwenyezi Mungu. Watu zaidi na zaidi wamerejea mbele ya kiti cha enzi cha Mwenyezi Mungu, wakipendeza neno la Mungu na ugavi wa maji yaliyo hai yaliyomo, wanahisi tamu katika moyo.

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu linajumuisha watu hawa ambao wanaamini kweli wa Mungu. Injili ya siku za mwisho ya Mwenyezi Mungu imekuwa imeenea kwa kila taifa. Tumaini ndugu na dada wote ambao wanaamini kweli wa Mungu wanaweza kutafuta njia ya kweli hivi karibuni, kurudi nyumbani kwa Mungu na kupata wokovu wa Mungu katika siku za mwisho."


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni