Jumapili, 3 Juni 2018

Umeme wa Mashariki | New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana


New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana


Utambulisho


I
Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu.
Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri.
Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe?
Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia?
Wewe ndiye Unayenipa upendo.
Wewe ndiye Unayenijali.
Wewe ndiye Unayefikiri kunihusu kila wakati.
Wewe ndiye Unayehifadhi maisha yangu.
Mwezi, rudi upande ule mwingine wa anga.
"Usimfanye mpenzi wangu angoje sana.
Tafadhali mwambie nimemkosa Yeye sana."
Usisahau kwenda na upendo wangu.
II
Bata bukini wa mwituni wawili wawili, wakipaa mbali zaidi.
Je, watarudi na ujumbe kutoka kwa mpenzi wangu?
Ee tafadhali, tafadhali nisaidie mabawa yako.
Naweza kupaa kurudi nyumbani mji wangu wa nyumbani wenye joto.
Nitalipa hangaiko la mpenzi wangu.
Nataka kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni!
Nitakupa jibu linalokufurahisha. Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.
Jinsi ninavyotamani ningekuwa mtu mzima haraka,
kuwa huru kutoka kwa maisha ya uzururaji, ya uchungu.
Ee mpenzi wangu, tafadhali nisubiri.
Nitapaa mbali na raha ya hii dunia.
Nitalipa hangaiko la mpenzi wangu.
Nataka kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni!
Nitakupa jibu linalokufurahisha. Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.
Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, nyimbo za injili,
Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri
"Biblia inasema: ""Kwa maana kama umeme unatoka mashariki, na huangaza mpaka magharibi; ndivyo pia kuja kwake Mwana wa Adamu kuwa."" Mwenyezi Mungu, Kristo wa Siku za Mwisho, ameelezea kweli kubwa ya kumwokoa mwanadamu na kumkamilisha . Watu wengi kutoka madhehebu tofauti wanaotamani kweli na kuamini Mungu wamethibitisha  kuwa Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu aliyerudi baada ya kutafuta na kuchunguza neno la Mwenyezi Mungu. Watu zaidi na zaidi wamerejea mbele ya kiti cha enzi cha Mwenyezi Mungu, wakipendeza neno la Mungu na ugavi wa maji yaliyo hai yaliyomo, wanahisi tamu katika moyo.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu linajumuisha watu hawa ambao wanaamini kweli wa Mungu. Injili ya siku za mwisho ya Mwenyezi Mungu imekuwa imeenea kwa kila taifa. Tumaini ndugu na dada wote ambao wanaamini kweli wa Mungu wanaweza kutafuta njia ya kweli hivi karibuni, kurudi nyumbani kwa Mungu na kupata wokovu wa Mungu katika siku za mwisho."""

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni