Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mpenzi-Wangu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mpenzi-Wangu. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 3 Juni 2018

Umeme wa Mashariki | New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana


New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana


Utambulisho


I
Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu.
Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri.
Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe?
Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia?
Wewe ndiye Unayenipa upendo.
Wewe ndiye Unayenijali.
Wewe ndiye Unayefikiri kunihusu kila wakati.
Wewe ndiye Unayehifadhi maisha yangu.
Mwezi, rudi upande ule mwingine wa anga.
"Usimfanye mpenzi wangu angoje sana.
Tafadhali mwambie nimemkosa Yeye sana."
Usisahau kwenda na upendo wangu.