Jumamosi, 18 Agosti 2018

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Nimeuona uzuri wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo,


  • I
  • Nasikia sauti ijulikanayo ikiniita mara kwa mara. 
  • Nikaamka na kuangalia kuona, 
  • ni nani aliye pale akizungumza. 
  • Sauti yake ni nyororo lakini kali, 
  • picha Yake nzuri! 
  • Nateseka kupigwa na kuvumilia maumivu makubwa, 
  • nikipapaswa na mkono Wake wenye upendo. 
  • Halafu natambua ni Mwenyezi ambaye nilipigana naye. 
  • Najichukia mwenyewe, kwa majuto makubwa, 
  • fikiria niliyoyafanya.
  • Nimepotoka kwa kina, hakuna wanadamu, 
  • sasa nauona ukweli
  • Pamoja na mwanzo mpya, kujiingiza katika maisha halisi, 
  • kutimiza wajibu wangu. 
  • Kwa hali, kushindana na Mungu, mimi siheshimiki. 
  • Mungu bado Mungu, mtu ni mtu—mimi ni mjinga sana. 
  • Mjinga na mwenye kiburi kiasi cha kutoijua nafsi yangu halisi. 
  • Nilikosa aibu na kutahayarika; 
  • moyo wangu umejaa majuto. 
  • Najichukia mwenyewe, 
  • bila kujua kile ninachoishia. 
  • Shetani alinikanyaga kwa miaka mingi sana, 
  • nikawa mdharauliwa. 
  • Wakishapewa sumu na yule Mwovu, 
  • wanadamu wamepotea. 
  • Kama sitabadilishwa na kuzaliwa upya, 
  • sina maisha ya kweli.
  • II
  • Tabia yangu potovu hunisumbua, 
  • huduma yangu bado i bure. 
  • Ni mjinga wa kumjua Mungu, na kujawa na dhana; 
  • jinsi gani mimi singepinga? 
  • Mungu hunihukumu, kwa uasi wangu, 
  • na ukosefu wa uadilifu. 
  • Nimeuona upendo wa kweli wa kuadibu na kuhukumu. 
  • Mungu ni mwenye haki, mimi nina hakika kabisa. 
  • Niko ana kwa ana naye. 
  • Wokovu wa vitendo wa Mungu umenisaidia kufika umbali huu. 
  • Uhalisi wa Mungu na uweza wake, 
  • vimefichuliwa kikamilifu kwa mtu. 
  • Kwa kuishi katika mwanga, 
  • namjua Mungu na kuuona uzuri wake. 
  • Nikiwa na nia ya kutimiza wajibu, 
  • Nitamtosheleza Mungu na kumpenda.

  • kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni