Jumatano, 22 Agosti 2018

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo za Sifa,

  • Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | 
  • Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu 

  • I
  • Kazi kubwa ya Mungu hubadilika haraka sana,
  • vigumu kuipima, kuridhisha kwa mtu.
  • Angalia kandokando yako, si kama awali,
  • kila kitu ni kizuri na kipya.
  • Kila kitu kimehuishwa, vyote vimetengenezwa upya,
  • vyote vimetakaswa.
  • Tunamsifu Mungu, tukijawa furaha,
  • nyimbo za sifa zinapepea mbinguni Kwake.
  • Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake!
  • Watu wote msifuni Mungu kwa vigelegele.
  • Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake!
  • Watu wote msifuni Mungu kwa vigelegele.
  • II
  • Sifa kwa matendo ya Mungu ya ajabu,
  • isifuni hekima Yake, isiyoshindwa.
  • Isifuni tabia Yake yenye haki,
  • msifuni kwa kuwa ni Mungu mwaminifu.
  • Kazi halisi ya Mungu imebadilisha tabia yangu ya kutotii.
  • Nimeadhimiwa na kazi iliyoteuliwa ya Mungu,
  • kushuhudia kwa matendo Yake matakatifu.
  • Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake!
  • Kuimba sifa Kwake kutoka kwa nyoyo zetu zenye furaha.
  • Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake!
  • Kuimba sifa Kwake kutoka kwa nyoyo zetu zenye furaha.
  • III
  • Wale wanaompenda Mungu, mtiini daima,
  • na kuishi kwa kudhihirisha uhalisi wa neno Lake.
  • Baada ya kuacha dhambi zao na uchafu,
  • wote huwa watakatifu.
  • Kuwa na ushuhuda kwa jina takatifu la Mungu,
  • baada ya kuutosheleza moyo wa Mungu.
  • Uadilifu na utakatifu kujaa katika ulimwengu huu,
  • kila mahali ni pazuri na papya.
  • Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake!
  • Kuimba sifa Kwake kutoka kwa nyoyo zetu zenye furaha.
  • Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake!
  • Kuimba sifa kwa Mungu kutoka kwa nyoyo zetu zenye furaha.
  • IV
  • Tukuzeni ufanikishaji wa kazi ya Mungu,
  • Mungu ametukuzwa kikamilifu,
  • wote na yeyote anafanya kutii,
  • kila mmoja ana mahali pa mwisho pa kupumzika.
  • Watu wa Mungu, watakatifu hata zaidi,
  • humtukuza Mungu wa kweli.
  • Pamoja na Yeye, wametota kwa furaha.
  • Wametota kwa furaha.
  • Mtukuzeni! Pamoja, sisi humtukuza!
  • Nyimbo zetu za sifa hazitafika kikomo kamwe.
  • Mtukuzeni! Pamoja, sisi humtukuza!
  • Nyimbo zetu za sifa hazitafika kikomo kamwe,
  • hazitafika kikomo.
  •  
  • kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Sikiliza nyimbo: Neno la Mwenyezi Mungu ya nyimbo, Kanisa la Mwenyezi Mungu audio nyimbo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni