Alhamisi, 23 Agosti 2018

Umeme wa Mashariki Nyimbo | Maisha Yetu Sio Bure

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Nyimbo,


  •  Maisha yetu sio bure.
  • Maisha yetu sio bure.
  • I
  • Leo tunakutana na Mungu,
  • tunapitia kazi Yake.
  • Tumemjua Mungu katika mwili,
  • wa utendaji na wa hakika.
  • Tumeiona kazi Yake,
  • nzuri na ya ajabu.
  • Kila siku ya maisha yetu sio bure.
  • Tunamshuhudia Kristo kama ukweli na uzima!
  • Kufahamu na kukumbatia fumbo hili.
  • Nyayo zetu ziko katika
  • njia ng’avu zaidi ya hadi katika uzima.
  • Hatutafuti tena, yote yako wazi kwetu.
  • Mungu, tutakupenda
  • Wewe milele bila majuto.
  • Tumepata ukweli,
  • uzima wa milele tutapata.
  • Maisha yetu sio bure, sio bure.
  • Maisha yetu sio bure.
  • Maisha yetu sio bure.
  • II
  • Maisha ya kumpenda Mungu,
  • yenye maana, sio matupu.
  • Tutimize wajibu wetu ili kushuhudia kwa ajili Yake.
  • Tunapata sifa ya Mungu,
  • tunapokea wokovu Wake.
  • Hatuishi bure;
  • maisha yetu, yenye utajiri na yaliyojaa.
  • Mungu, tutakupenda Wewe
  • milele bila majuto.
  • Tumepata ukweli,
  • uzima wa milele tutapata.
  • Maisha yetu sio bure, sio bure.
  • Maisha yetu sio bure.
  • Maisha yetu sio bure.
  • III
  • Ni nani angewez kuwa
  • amebarikiwa kuliko tulivyobarikiwa?
  • Je, bahati nzuri ingeweza kutabasamu
  • kwa utajiri na wingi mno?
  • Kwa kuwa Mungu ametupa sisi
  • mengi zaidi kuliko chochote
  • kile Alichotoa katika enzi zilizopita.
  • Lazima tuishi kwa ajili ya Mungu,
  • Aliyetuinua mimi na wewe.
  • Tunapaswa kurudisha upendo wote
  • uliomwagwa kwetu.
  • Mungu, tutakupenda Wewe
  • milele bila majuto.
  • Tumepata ukweli,
  • uzima wa milele tutapata.
  • Maisha yetu sio bure, sio bure.
  • Maisha yetu sio bure.
  • Maisha yetu sio bure.
  • Maisha yetu sio bure.
  • kutoka kwa Fuata Mwanakondoo na Uimbe Nyimbo Mpya

Sikiliza zaidi: Kanisa la Mwenyezi Mungu Wimbo wa Uzoefu wa Maisha.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni