Jumamosi, 22 Septemba 2018

Upendo wa Kweli wa Mungu

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, nyimbo za love

  • Upendo wa Kweli wa Mungu

    🎼🎼  → → πŸŽ™️πŸŽ™️  ↓↓🎻🎻🎻🎻~~~πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ’“πŸ’“
  • I
  • Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo.
  • Moyo wangu una mengi ya kusema
  • ninapoona uso Wake wa kupendeza.
  • Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
  • Neno Lake linanijaza na raha
  • na furaha kutoka kwa neema Yake.
  • Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo
  • huninyunyizia
  • na kunistawisha ili nikuwe.
  • Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
  • Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
  • Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
  • Mwenyezi Mungu wa kweli
  • ambaye Ametupenda!
  • Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
  • II
  • Nataka kuwa na shauku ya neno Lako
  • katika siku zangu zote.
  • Nakutazamia, Mungu wangu, kwa mwanga katika kila njia.
  • Unawanyunyizia na kuwastawisha watu Wako kwa upendo.
  • Unatuongoza mbali na ushawishi wa ibilisi wa kupotosha.
  • Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo
  • huninyunyizia
  • na kunistawisha ili nikuwe.
  • Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
  • Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
  • Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
  • Mwenyezi Mungu
  • wa kweli ambaye Ametupenda!
  • Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
  • III
  • Ndugu! Tuinukeni na tusifu!
  • Tuutunze wakati huu tunaoshirikiana pamoja.
  • Tukiwa huru kutokana na minyororo ya mizigo ya mwili,
  • hebu tuonyeshe upendo wetu kwa Mungu
  • katika matendo halisi,
  • tutimize wajibu wetu
  • kwa moyo na nuvu.
  • Tunakupenda, Mwenyezi Mungu!
  • Hatutawahi kukuacha!
  • Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo
  • huninyunyizia
  • na kunistawisha ili nikuwe.
  • Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
  • Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
  • Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
  • Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo
  • huninyunyizia
  • na kunistawisha ili nikuwe.
  • Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
  • Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
  • Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
  • Mwenyezi Mungu
  • wa kweli ambaye Ametupenda!
  • Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
  • Kwa sababu Umetuinua.
  • Mwenyezi Mungu
  • wa kweli ambaye Ametupenda!
  • Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
  •  
  • kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni