Ijumaa, 5 Aprili 2019

Wimbo wa kuabudu | 79. Kazi na Maonyesho Huamua Kiini Chake


Wimbo wa kuabudu | 79. Kazi na Maonyesho Huamua Kiini Chake

I


Kiini cha Kriso kinaamuliwa na kazi Yake na maonyesho.

Na moyo ulio wa kweli, Anatimiza kile ambacho ameaminiwa nacho,

Anamwabudu Mungu aliye mbinguni na anatafuta mapenzi ya Baba Yake.

Haya yote yanaamuliwa na kiini Chake, na hivyo pia ufunuo Wake wa asili.

Unaitwa hivyo kwa sababu maonyesho Yake sio uigaji,

ama kutoka kwa miaka ya ukuzaji wa mwanadamu ama elimu.

Haujasomwa ama kupambwa, lakini ni ya asili. Aa …

Haujasomwa ama kupambwa, lakini ni ya asili. Aa …

II

Mwanadamu anaweza kukataa kazi Yake, maonyesho Yake na ubinadamu,

anaweza hata kukataa maisha Yake ya ubinadamu wa kawaida,

lakini sio moyo Wake wa kweli anapomwabudu Mungu aliye mbinguni.

Hakuna anayeweza kukataa kuwa Yuko hapa kutimiza mapenzi ya Baba wa mbinguni.

Na hakuna anayeweza kukataa ukweli ambao Anamtafuta Mungu Baba.

Sura Yake inaweza kuwa haipendezi kwa fikira,

hotuba Yake inaweza kukosa kusisimua,

kazi Yake inaweza kukosa kuwa kubwa sana,

kama kile ambacho kimeaminiwa katika fikira ya mwanadamu.

Lakini kwa kweli Yeye ni Kristo, ambaye Anatimiza mapenzi ya Baba Yake,

kwa moyo wa kweli, na kujiwasilisha kabisa na kutii kabisa. Aa …

Ni kwa sababu kiini Chake ni kile cha Kristo.

Ukweli ambao ni mgumu kuamini lakini kwa kweli upo.

Ukweli ambao ni mgumu, mgumu kuamini lakini kwa kweli upo.

Ukweli ambao ni mgumu, mgumu kuamini lakini kwa kweli upo. Aa …

kutoka katika "Kiini Cha Kristo Ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba wa Mbinguni" katika Neno Laonekana katika Mwili


Sikiliza nyimbo: nyimbo za dini

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni