Alhamisi, 17 Oktoba 2019

“Siri ya Utauwa: Mfuatano” – Bwana Yesu ni Mwana wa Mungu au Mungu Mwenyewe | Swahili Gospel Movie Clip 6/6

“Siri ya Utauwa: Mfuatano” – Bwana Yesu ni Mwana wa Mungu au Mungu Mwenyewe | Swahili Gospel Movie Clip 6/6


Imeandikwa waziwazi katika Biblia kwamba Bwana Yesu ni Kristo, kwamba Yeye ni Mwana wa Mungu. Lakini Umeme wa Mashariki unashuhudia kwamba Kristo aliyepata mwili ni dhihirisho la Mungu, kwamba Yeye ni Mungu Mwenyewe. Kwa hiyo Kristo aliyepata mwili ni Mwana wa Mungu?Au Yeye ni Mungu Mwenyewe?  Mwenyezi Mungu asema, "'Yesu ni Mwana mpendwa wa Mungu, ambaye anapendezwa Naye'.... Huyu alikuwa Mungu akijitolea ushuhuda Mwenyewe, ila kutoka katika mtazamo tofauti, ule wa Roho aliye mbinguni akitolea ushuhuda kupata Mwili Kwake. Yesu ni kupata mwili Kwake, si Mwanake mbinguni. Je, unaelewa? Je, maneno ya Yesu, 'Baba Yu ndani Yangu Nami ni ndani Yake,' hayaonyeshi kuwa Wao ni Roho mmoja? Na si kwa sababu ya kupata mwili kulikosababisha kutenganishwa Kwao kati ya mbinguni na duniani? Uhalisi ni kwamba Wao ni kitu kimoja; hata iweje, ni Mungu anajitolea ushuhuda Mwenyewe" (Neno Laonekana Katika Mwili).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni