“Siri ya Utauwa: Mfuatano” – Bwana Yesu ni Mwana wa Mungu au Mungu Mwenyewe | Swahili Gospel Movie Clip 6/6
Imeandikwa waziwazi katika Biblia kwamba Bwana Yesu ni Kristo, kwamba Yeye ni Mwana wa Mungu. Lakini Umeme wa Mashariki unashuhudia kwamba Kristo aliyepata mwili ni dhihirisho la Mungu, kwamba Yeye ni Mungu Mwenyewe. Kwa hiyo Kristo aliyepata mwili ni Mwana wa Mungu?Au Yeye ni Mungu Mwenyewe?