Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ajabu-kama. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ajabu-kama. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 20 Februari 2018

12. Wakati wa Uzoefu Mmoja Niliona Ulinzi wa Mungu

12. Wakati wa Uzoefu Mmoja Niliona Ulinzi wa Mungu

Yongxin, Jiji la Yibin, Mkoa wa Sichuan
    Hatukuwahi kumwamini Mungu kabla. Mnamo mwaka wa 2005, tukitiwa moyo na Mungu, mume wangu, baba mkwe wangu, mjomba wangu, na mimi wote tuliikubali kazi ya Mungu ya siku za mwisho. Baada ya muda mfupi, kanisa lilinipangia kufanya wajibu wa kuhifadhi vitabu. Baadaye, nyumba yetu ilishika moto, na wakati wa moto huu tulipokea ulinzi wa Mungu wa ajabu. Mungu kwa hakika ni mwenyezi!
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukombozi,
Wakati wa Uzoefu Mmoja Niliona Ulinzi wa Mungu


Siku moja mwezi wa Machi ya mwaka wa 2006, baada ya chakula cha mchana takriban saa saba adhuhuri, kulikuwa kukinya theluji sana nje. Mume wangu, binti yangu na mimi tulikuwa ndani, tukijipasha joto kando ya moto na kubambua mahindi, wakati tuliposikia kwa ghafla sauti kutoka nje ikipiga yowe kwa sauti kubwa, “Nyumba yenu inachomeka!