Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Falsafa-ya-maisha. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Falsafa-ya-maisha. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 22 Julai 2018

Umeme wa Mashariki | Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka(1)

Umeme wa Mashariki, Umeme wa Mashariki, wokovu,

Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka(1)

Tong Xin    Mkoa wa Fujian
Nilizaliwa vijijini. Nilitoka kwa nasaba ya wakulima wanyenyekevu na zaidi ya hayo familia yetu ilikuwa na watu wachache, kwa hiyo mara nyingi tulikuwa tunadhulumiwa. Nilipokuwa na umri wa miaka 13, kulikuwa na mtoto aliyepigwa na mtu fulani kutoka nje ya kijiji chetu. Wanakijiji walimlaumu kwa uongo baba yangu kwa kuchochea hilo na wakasema walitaka kupekua nyumba yetu na kuchukua ngawira mali yetu, kuchukua nguruwe wetu na hata kumpiga baba yangu. Kulikuwa na wakati pia ambapo mwanakijiji mwingine alichukua wavu wetu wa uvuvi na kuuweka kama wake mwenyewe.