Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maana-ya-Uzima. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maana-ya-Uzima. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 1 Juni 2018

Swahili Christian Video "Kuzinduka" | Ni nini Maana ya Uzima?


Umeme wa Mashariki | Swahili Christian Video "Kuzinduka" | Ni nini Maana ya Uzima?


Utambulisho


Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, maneno ya Mungu,Jina lake ni Chen Xi, na tangu akiwa mtoto elimu na ushawishi wa wazazi wake na shule yake zilimfanya yeye mara zote kutaka kwa tofauti na wengine na kutafuta kuwa juu ya wengine,kwa hivyo alikuwa na bidii katika masomo yake na kutia juhudi zote. Baada ya kumwamini Mungu Chen Xi alisoma maneno ya Mungu kwa wingi na akaja kuelewa kiasi fulani cha ukweli. Aliona kuwa njia pekee inayofaa katika maisha ni kumwamini na kumfuata Mungu na kuwa mtafutaji mwenye shauku, na alijitolea kwa dhati katika kutekeleza wajibu wake. Chen Xi alienda ughaibuni mwaka 2016 ili kutoroka harakati na mateso ya serikali ya Kikomunisti ya Kichina, na alihitaji kutumia Kiingereza wakati akifanya kazi yake ya kueneza injili na kutoa ushuhuda kwa kazi ya Mungu katika zile siku za mwisho.