
Jina lake ni Chen Xi, na tangu akiwa mtoto elimu na ushawishi wa wazazi wake na shule yake zilimfanya yeye mara zote kutaka kwa tofauti na wengine na kutafuta kuwa juu ya wengine,kwa hivyo alikuwa na bidii katika masomo yake na kutia juhudi zote. Baada ya kumwamini
Mungu Chen Xi alisoma maneno ya Mungu kwa wingi na akaja kuelewa kiasi fulani cha
ukweli. Aliona kuwa njia pekee inayofaa katika maisha ni kumwamini na kumfuata Mungu na kuwa mtafutaji mwenye shauku, na alijitolea kwa dhati katika kutekeleza wajibu wake. Chen Xi alienda ughaibuni mwaka 2016 ili kutoroka harakati na mateso ya serikali ya Kikomunisti ya Kichina, na alihitaji kutumia Kiingereza wakati akifanya kazi yake ya kueneza
injili na kutoa
ushuhuda kwa kazi ya Mungu katika zile
siku za mwisho.