Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mafuriko-ya-milele. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mafuriko-ya-milele. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 3 Februari 2018

Mamlaka ya Mungu | 2. Mungu Hutumia Matamshi Yake Kuanzisha Agano na Binadamu.

2. Mungu Hutumia Matamshi Yake Kuanzisha Agano na Binadamu.

Mwa 9:11-13 Na nitaweka agano langu na ninyi, wala miili yote haitaondolewa tena na maji ya gharika; wala hakutakuwa na gharika tena kuiharibu dunia. Naye Mungu akasema, Hii ni alama ya agano ambayo naifanya kati ya Mimi na ninyi na viumbe vyote vyenye uhai vilivyo nanyi, kwa vizazi vya kudumu: naweka upinde wangu mawinguni, na utakuwa alama ya agano kati ya Mimi na dunia.
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli,
Mungu Hutumia Matamshi Yake Kuanzisha Agano na Binadamu.

Baada ya Kuumba Viumbe Vyote, Mamlaka ya Muumba Yanathibitishwa na Kuonyeshwa kwa Mara Nyingine Tena Kwenye Agano la Upinde wa Mvua

Mwenyezi Mungu alisema, Mamlaka ya Muumba siku zote yanaonyeshwa na kutekelezwa miongoni mwa viumbe vyote, Naye hatawali tu hatima ya viumbe vyote, lakini pia Anatawala mwanadamu, kiumbe maalum ambacho Aliumba kwa mikono Yake mwenyewe, na kinachomiliki muundo tofauti wa uhai na kinachopatikana kwa mfumo tofauti wa uhai.

Jumanne, 16 Januari 2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I | B. Nuhu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukombozi,
Mungu ananuia kuangamiza ulimwengu kwa gharika, anamwagiza Nuhu kuijenga safina.

B. Nuhu

1. Mungu ananuia kuangamiza ulimwengu kwa gharika, anamwagiza Nuhu kuijenga safina.

(Mwa 6:9-14) Hivi ndivyo vizazi vya Nuhu: Nuhu alikuwa mtu wa haki na mkamilifu katika vizazi vyake, na Nuhu alitembea pamoja na Mungu. Nuhu akazaa wana watatu wa kiume, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Dunia pia ilikuwa potovu mbele za Mungu, dunia ilijaa dhuluma. Mungu akaingalia dunia, na, tazama, ilikuwa imepotoka; maana kila mwenye mwili alikuwa amejiharibia njia yake duniani. Na Mungu akamwambia Nuhu, Mwisho wa kila mwenye mwili umekuja mbele zangu; kwa sababu dunia imejawa na dhuluma kupitia kwao; na, tazama, Nitawaharibu pamoja na dunia. Ujitengenezee safina ya mti wa mvinje; utatengeneza vyumba ndani ya safina, na uifunike ndani na nje kwa lami.