Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Rangi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Rangi. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 17 Februari 2018

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VIII | Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (II)

Umeme wa Mashariki | Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (II)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Biblia,
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VIII

Mwenyezi Mungu alisema, Tuendelee na mada ya mawasiliano ya wakati uliopita. Je, mnaweza kukumbuka ni mada gani tuliwasiliana wakati uliopita? (Mungu ni chanzo cha uhai kwa vitu vyote.) Je, “Mungu ni chanzo cha uhai kwa vitu vyote” ni mada mnayohisi ikiwa mbali sana nanyi? Mtu fulani anaweza kuniambia wazo kuu la mada hii tuliyowasiliana wakati uliopita? (Kupitia kwa uumbaji wa Mungu wa vitu vyote, ninaona kwamba Mungu hulea vitu vyote na hulea wanadamu. Katika siku zilizopita, kila mara nilifikiria kwamba Mungu anapompa mwanadamu, Anawapa tu watu Wake waliochaguliwa neno Lake, lakini kamwe sikuona, kupitia kwa sheria za vitu vyote, kwamba Mungu anawalea wanadamu.