Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Waadilifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Waadilifu. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 21 Januari 2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II | B. Mungu Lazima Aangamize Sodoma.

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,
Kanisa la Mwenyezi Mungu

B. Mungu Lazima Aangamize Sodoma.

(Mwa 18:26) Kisha BWANA akasema, Nikipata katika Sodoma wenye haki hamsini mjini, basi Nitapaacha mahali pote kwa ajili yao.
(Mwa 18:29) Na akazungumza tena naye, akasema, Huenda wakapatikana humo arobaini. Akasema, Sitafanya hivyo.
(Mwa 18:30) Akamwambia, labda watapatikana huko thelathini. Naye akasema, Sitafanya hivyo.
(Mwa 18:31) Kisha akasema, huenda wakaonekana huko ishirini. Naye akasema, Sitauharibu.
(Mwa 18:32) Naye akasema, huenda wakaonekana huko kumi. Naye akasema, Sitauharibu.