Alhamisi, 7 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Ufalme wa Milenia Umewasili

Umeme wa Mashariki,  Kanisa la Mwenyezi Mungu,  Kanisa,
Umeme wa Mashariki | Ufalme wa Milenia Umewasili

Umeme wa Mashariki | Ufalme wa Milenia Umewasili

Mwenyezi Mungu alisema, Je, mmeona kazi ambayo Mungu ataikamilisha katika kundi hili la watu? Mungu alisema, hata katika Ufalme wa Milenia watu ni lazima waendelee kufuata matamshi Yake, na katika maisha ya baadaye, matamshi ya Mungu bado yatakuwa yanaongoza maisha ya mwanadamu moja kwa moja kwenda katika nchi ya Kanaani. Musa alipokuwa jangwani, Mungu alimwelekeza na kuzungumza naye moja kwa moja. Kutoka mbinguni Mungu alituma chakula, maji, na mana ili watu waweze kuvifurahia, na leo bado ni hivyo: Mungu mwenyewe ametuma vitu chini kwa ajili ya kula na kunywa ili watu wafurahi, na yeye mwenyewe ametuma laana ili kuwaadibu watu.

Bwana Wangu Ni Nani Fupi - Christ is the Source of Life as Well as the Lord of the Bible



Bwana Wangu Ni Nani Fupi - Christ is the Source of Life as Well as the Lord of the Bible


    The Lord Jesus said, ""Search the scriptures; for in them you think you have eternal life: and they are they which testify of me. And you will not come to me, that you might have life"" (Jhn 5:39-40). Does only the Bible have eternal life, or can you attain eternal life through God? How does Christ of the last days bestow eternal life upon man? This video will give you all the answers.

Jumatano, 6 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Waovu Lazima Waadhibiwe

 Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
 Umeme wa Mashariki | Waovu Lazima Waadhibiwe


Umeme wa Mashariki | Waovu Lazima Waadhibiwe


Mwenyezi Mungu alisema,Kukagua kama unatenda uhaki katika kila jambo unalotenda, na iwapo matendo yako yanachunguzwa na Mungu, ni tabia za kanuni za wale wanaomwamini Mungu. Utaitwa mwenye haki kwa sababu una uwezo wa kukidhi matakwa ya Mungu, na kwa sababu umekubali utunzaji na ulinzi wa Mungu. Machoni pa Mungu, wote wanaokubali utunzaji, ulinzi na ukamilishaji Wake na wale waliopatwa Naye, ni wenye haki na hutazamwa kwa upendo sana Mungu.

Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu

Umeme wa Mashariki,  Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
 Umeme wa Mashariki | Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu


Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu


Mwenyezi Mungu alisema,Kwa nini unamwamini Mungu? Watu wengi wanafadhaishwa na swali hili. Siku zote wana mitazamo tofauti kuhusu Mungu wa vitendo na Mungu wa mbinguni, jambo linaloonyesha kwamba wanamwamini Mungu sio ili wamtii, bali kupata manufaa fulani, au kuepuka mateso ya janga. Wakati huo tu ndipo wanakuwa watii kwa kiasi fulani, lakini utii wao ni wa masharti, ni kwa ajili ya matarajio yao wenyewe, na kushinikiziwa. Hivyo: kwa nini unamwamini Mungu?

Jumanne, 5 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Mnapaswa Kuzingatia Matendo Yenu

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Umeme wa Mashariki | Unapaswa Kuzingatia Matendo Yako

Umeme wa MasharikiMnapaswa Kuzingatia Matendo Yenu

Mwenyezi Mungu alisema,Kulingana na vitendo na matendo katika maisha yenu, nyote mnahitaji kurasa za maneno ya kuwajaza na kuwajenga kila siku, kwani mko na upungufu mno, na ujuzi na maarifa yenu ya kupokea ni ya hali ya chini sana. Katika maisha yenu ya kila siku, mnaishi katika hali na mazingira yasiyo na ukweli ama fahamu nzuri. Hamna rasilamali ya uwepo na pia hamna msingi wa Kunijua au kujua ukweli. Imani yenu imejengwa tu juu ya ujasiri usio dhahiri au kwenye ibada za kidini na ujuzi kulingana na mafundisho ya kidini kabisa. Kila siku Ninatazama mienendo yenu na kuchunguza nia yenu na matunda yenu maovu. Sijawahi kumpata mmoja ambaye kwa kweli aliweka moyo wake na roho yake kwenye madhabahu Yangu, ambayo hayajawahi kusonga.

Umeme wa Mashariki | Unapaswa Kutayarisha Matendo Mema ya Kutosha Kwa ajili ya Hatima Yako

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa,

Umeme wa MasharikiUnapaswa Kutayarisha Matendo Mema ya Kutosha Kwa ajili ya Hatima Yako

Mwenyezi Mungu alisema, Nimefanya kazi nyingi miongoni mwenu na, bila shaka, Nimetamka mengi pia. Hata hivyo, Nahisi kwamba maneno na kazi Yangu havijatimiza lengo la kazi Yangu ya siku za mwisho kikamilifu. Maana, katika siku za mwisho, kazi Yangu si kwa ajili ya mtu au watu fulani, bali ni kwa manufaa ya kufafanua tabia Yangu asilia. Hata hivyo, kutokana na sababu nyingi—pengine ukosefu wa muda au shughuli nyingi za kazi—tabia Yangu haijamwezesha binadamu kunijua hata kidogo.

Jumatatu, 4 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Njia ya Huduma ya Kidini lazima Ipigwe Marufuku

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kanisa

Umeme wa Mashariki | Sitisha Huduma ya Kidini

Umeme wa Mashariki | Njia ya Huduma ya Kidini lazima Ipigwe Marufuku

Mwenyezi Mungu alisema, Tangu mwanzo wa kazi Yake katika ulimwengu mzima, Mungu ameamulia kabla watu wengi kumhudumia Yeye, wakiwemo watu kutoka kila nyanja ya maisha. Kusudio Lake ni kutimiza mapenzi Yake Mwenyewe na kuhakikisha kwamba kazi Yake hapa ulimwenguni imetimia. Hili ndilo kusudio la Mungu katika kuwachagua watu wa kumhudumia Yeye. Kila mtu anayehudumia Mungu lazima aelewe mapenzi haya ya Mungu.