Jumamosi, 13 Januari 2018

Kwa Furaha Ukaribishe Ujio wa Mungu! | Drama yenye Muziki ya Sifa za Ufalme–Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo

        
Kanisa la Mwenyezi Mungu, kupata mwili, Umeme wa Mashariki,
Kwa Furaha Ukaribishe Ujio wa Mungu!

Kwa Furaha Ukaribishe Ujio wa Mungu! | Drama yenye Muziki ya Sifa za Ufalme–Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo

    Chini ya mbingu ya usiku yenye nyota, tulivu na kimya, kundi la Wakristo wanasubiri kwa ari kurudi kwa Mwokozi wakiimba na kucheza kwa muziki mchangamfu.Wanaposikia habari za furaha "Mungu amerejea" na "Mungu ametamka maneno mapya", wanashangaa na kusisimka. Wanafikiri: "Mungu ameonekana? Tayari ametokea?" Kwa udadisi na kutokuwa na uhakika, mmoja baada ya mwingine, wanaingia katika safari ya kuyatafuta maneno mapya ya Mungu. Katika kutafuta kwao kugumu, baadhi ya watu wanauliza maswali hali wengine wanalikubali tu. baadhi ya watu wanaangalia bila kutoa maoni, wakati wengine wanafanya mapendekezo na kutafuta majibu katika Biblia–wanaangalia lakini mwishowe kuangalia huku hakuzai matunda .... Wakati tu wanapokata tamaa, shahidi mmoja anawaletea nakala ya Biblia ya Enzi ya Ufalme, na wanavutiwa kwa kina na maneno yaliyomo katika kitabu. Hiki ni kitabu cha aina gani kweli? Je, kwa kweli wamepata maneno mapya ambayo Mungu ameyanena katika kitabu hiki? Je, wamekaribisha kwa furaha kuonekana kwa Mungu?

Ijumaa, 12 Januari 2018

Sura ya 9. Kutafuta Mapenzi ya Mungu na Kuuweka Ukweli Katika Vitendo Kwa Kiasi Kikubwa Zaidi Iwezekanavyo


Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,
 Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo

  Sura ya 9. Kutafuta Mapenzi ya Mungu na Kuuweka Ukweli Katika Vitendo Kwa Kiasi Kikubwa Zaidi Iwezekanavyo

    Mwenyezi Mungu alisema,Punde tu watu wanapokuwa na haraka wakati wakiutumiza wajibu wao, hawajui jinsi ya kuuzoea; punde tu wanaposhughulika na mambo, hali yao ya kiroho inakuwa na matatizo; hawawezi kudumisha hali yao ya kawaida. Inawezekanaje kuwa hivi? Unapoombwa kufanya kazi kidogo, haufuati ukawaida, unakosa mipaka, husogei karibu na Mungu na unajitenga mbali na Mungu. Hili linadhibitisha kwamba watu hawajui jinsi ya kuwa na uzoefu. Haidhuru nini ufanyacho, unapaswa kwanza kuelewa halisi kwa nini unalifanya hili na asili ya jambo hili ni lipi.

Alhamisi, 11 Januari 2018

Safina ya Siku za Mwisho | “Siku za Nuhu Zimekuja” Swahili Gospel Video


Safina ya Siku za Mwisho | “Siku za Nuhu Zimekuja” Swahili Gospel Video

Utambulisho
    Hebu tumwangalie mwanadamu wakati wa enzi ya Nuhu. Mtu alishiriki katika kila aina ya utendaji wa maovu akikosa kufikiria toba. Hakuna aliyesikiliza neno la Mungu. Ugumu na uovu wao uliamsha hasira ya Mungu na mwishoni, walimezwa na maafa ya mafuriko makuu. Nuhu na familia yake ya watu nane pekee ndio walisikiliza neno la Mungu na walikuwa na uwezo wa kuishi. Sasa, siku za mwisho zimeshafika. Upotovu wa mwanadamu unakuwa mwingi zaidi na zaidi. Kila mtu huyatukuza mabaya. Dunia nzima ya dini hufuata wimbi la ulimwengu. Hawaupendi ukweli hata kidogo. Siku za Nuhu zimeshafika! Ili kuwaokoa wanadamu, Mungu amerudi tena kufanya kazi ya hukumu ya siku za mwisho miongoni mwa wanadamu. Hii ni mara ya mwisho ambayo Mungu anamwokoa mtu! Wanadamu wanapaswa kuchagua nini? Hii ni hadithi ya kweli. Kwa kuwa wananchi wa Kaunti ya Qingping katika mkoa wa Sichuan tena na tena wamekata kukubali injili ya ufalme ya Mwenyezi Mungu, wamekutana na matukio mawili ya mkasa. Wakati wa tetemeko kubwa la Sichuan ndugu wengi ambao waliamini katika Mwenyezi Mungu walilindwa na Mungu kimiujiza na walinusurika. Ukweli huu umeshuhudiwa: wale wanaomkubali na kumtii Mungu na wale wanaomkataa na kumpinga Mungu. Watu hawa wa aina mbili wana miisho miwili tofauti sana!

Jumanne, 9 Januari 2018

Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu

Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya Mungu miongoni mwa mwanadamu haitengani na mwanadamu, kwa kuwa mwanadamu ni chombo cha kazi hii na kiumbe wa pekee aliyeumbwa na Mungu anayeweza kutoa ushuhuda kwa Mungu. Maisha ya mwanadamu na shughuli zake zote havitengani na Mungu, na vyote vinaongozwa na mkono wa Mungu, na inaweza kusemwa kuwa hakuna mtu anayeweza kuishi bila Mungu. Hakuna anayeweza kupinga hili, kwani ndio ukweli. Kila Akifanyacho Mungu ni kwa faida ya mwanadamu, na kinalenga hila za Shetani.

Jumatatu, 8 Januari 2018

Mwanadamu Aliyeanguka Anahitaji Zaidi Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,
Neno Laonekana katika Mwili

Mwanadamu Aliyeanguka Anahitaji Zaidi Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili

    Mwenyezi Mungu alisema,Mungu alifanyika mwili kwa sababu lengo la kazi Yake si roho ya Shetani, au kitu chochote kisicho cha mwili, ila mwanadamu, ambaye ni wa mwili na ambaye amepotoshwa na Shetani. Ni kwa sababu hii kabisa kwamba mwili wa mwanadamu umeharibiwa ndio maana Mungu akamfanya mwanadamu mwenye mwili kuwa mlengwa wa kazi Yake; aidha, kwa sababu mwanadamu ni mhusika wa uharibifu, Amemfanya mwanadamu kuwa mlengwa wa kazi Yake katika hatua zote za kazi Yake ya wokovu.

Jumapili, 7 Januari 2018

Je, Wajua? Mungu Amefanya Jambo Kubwa Miongoni Mwa Wanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,  Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,
Neno Laonekana katika Mwili

Je, Wajua? Mungu Amefanya Jambo Kubwa Miongoni Mwa Wanadamu

Mwenyezi Mungu alisema,Enzi ya zama ishaenda, na enzi mpya imefika. Mwaka baada ya mwaka na siku baada ya siku, Mungu amefanya kazi nyingi. Alikuja duniani, kisha Akaondoka. Mzunguko kama huu umeendelea kwa vizazi vingi. Siku ya leo, Mungu anaendelea kama mbeleni kufanya kazi Anayopaswa kufanya, kazi ambayo bado Hajaikamilisha, kwani hadi leo, bado Hajaingia mapumzikoni. Kutoka wakati wa uumbaji hadi leo, Mungu amefanya kazi nyingi, lakini ulijua kwamba kazi anayoifanya Mungu leo ni nyingi kuliko awali na kipimo ni kikubwa zaidi? Hii ndiyo maana Nasema Mungu amefanya jambo kubwa miongoni mwa wanadamu. Kazi zote za Mungu ni muhimu sana, iwe kwa mwanadamu ama Mungu, kwani kila kitu cha kazi Yake kina uhusiano na mwanadamu.

Jumamosi, 6 Januari 2018

Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu ndio Utakuwa Wakati Ambao Mungu Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Neno Laonekana Katika Mwili

Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu Ndio Utakuwa Wakati Ambao Mungu Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia

Mwenyezi Mungu alisema,Je, ungependa kumwona Yesu? Je, ungependa kuishi na Yesu? Je, ungependa kusikia maneno yaliyonenwa na Yesu? Iwapo ni hivyo, basi utakaribishaje, kurudi kwa Yesu? Je, uko tayari kabisa? Utakaribisha kurudi kwa Yesu kwa namna gani? Nafikiri kuwa kila ndugu na dada wanaomfuata Yesu wangependa kumpa Yesu makaribisho mazuri. Lakini Je, mmewaza iwapo utamjua Yesu Atakaporejea? Je, mtaelewa kila kitu Atakachosema? Je, mtakubali bila masharti, kila kazi ambayo Anafanya? Wale wote ambao wamesoma Biblia wanajua kuhusu kurudi kwa Yesu, na wale wote ambao wamesoma Biblia wanangoja kwa makini kuja Kwake.