Jumanne, 17 Desemba 2019

“Kupita Katika Mtego” – Kwa nini Chama cha Kikomunisti cha China Kinalitesa Kanisa la Mwenyezi Mungu | Filamu za Injili (Movie Clip 6/7)


“Kupita Katika Mtego” – Kwa nini Chama cha Kikomunisti cha China Kinalitesa Kanisa la Mwenyezi Mungu | Filamu za Injili (Movie Clip 6/7)

Chama cha Kikomunisti cha China ni serikali ya kishetani ambayo huchukia ukweli na Mungu. Kinajua kwamba Mwenyezi Mungu peke Yake katika ulimwengu ndiye Anayeweza kuonyesha ukweli. Mwenyezi Mungu yuko katika mchakato wa kufanya kazi ya wokovu wa siku za mwisho. Neno la Mwenyezi Mungu likienezwa kati ya watu, wale wote wanaopenda ukweli watarejea kwa Mwenyezi Mungu.  Uso wa kishetani wa Chama cha Kikomunisti cha China, uso wake wa kweli, ambao huchukia ukweli na kumpinga Mungu utafunuliwa. Kisha jamii nzima ya wanadamu itakitelekeza Chama cha Kikomunisti cha China. Hakitakuwa na nafasi tena nchini China. Pia hakitakuwa na uwezo wa kuwapotosha na kuwatega raia wa dunia. Hii ndiyo maana Chama cha Kikomunisti cha China kinamchukia Mwenyezi Mungu na kinalitesa Kanisa la Mwenyezi Mungu kwa wayowayo.

Maoni 1 :

  1. Hotels near Harrah's Casino in Chester, PA
    Harrah's Casino, located 통영 출장마사지 in Chester, PA 1xbet korean in 강릉 출장마사지 Chester, PA, features slot machines, table games, a 24-hour poker room, and an 부천 출장마사지 indoor 계룡 출장샵 pool.

    JibuFuta