Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tangu-Nyakati-za-Kale-Njia-ya-Kweli-Imeelekezwa-kwa-Usumbufu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tangu-Nyakati-za-Kale-Njia-ya-Kweli-Imeelekezwa-kwa-Usumbufu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 17 Desemba 2019

“Kupita Katika Mtego” – Kwa nini Chama cha Kikomunisti cha China Kinalitesa Kanisa la Mwenyezi Mungu | Filamu za Injili (Movie Clip 6/7)


“Kupita Katika Mtego” – Kwa nini Chama cha Kikomunisti cha China Kinalitesa Kanisa la Mwenyezi Mungu | Filamu za Injili (Movie Clip 6/7)

Chama cha Kikomunisti cha China ni serikali ya kishetani ambayo huchukia ukweli na Mungu. Kinajua kwamba Mwenyezi Mungu peke Yake katika ulimwengu ndiye Anayeweza kuonyesha ukweli. Mwenyezi Mungu yuko katika mchakato wa kufanya kazi ya wokovu wa siku za mwisho. Neno la Mwenyezi Mungu likienezwa kati ya watu, wale wote wanaopenda ukweli watarejea kwa Mwenyezi Mungu.

Jumapili, 8 Desemba 2019

"Utamu katika Shida" – Kwa nini Chama cha Kikomunisti cha China Kilibuni Tukio la 5/28 la Zhaoyuan? | Swahili Christian Testimony Video Clip 5/6


Baada ya kesi ya hadharani ya Tukio la Shandong Zhaoyuan, watu wenye utambuzi wote walitambua kuwa kesi hii ilibuniwa kabisa na Chama cha Kikomunisti cha China ili kulisingizia na kuliaibisha Kanisa la Mwenyezi Mungu kwa makusudi. Ilikuwa kesi ya kuundwa na utumiaji vibaya wa haki. Sababu ya nia mbaya ya Chama cha Kikomunisti cha China kufanya hivi ni nini?

Sikiliza zaidi: Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Kukaribia Hatari na Kurudi"

Jumamosi, 16 Novemba 2019

“Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari” – Kwa Nini Binadamu Humwasi Mungu? | Swahili Gospel Film Clip 4/6

Miaka elfu mbili iliyopita, Mungu alipopata mwili kama Bwana Yesu na kuja miongoni mwa wanadamu kuwakomboa binadamu Alikataliwa katika enzi ya giza, hatimaye kusulubiwa msalabani na binadamu waovu wenye upotovu. Bwana Yesu alitabiri kwamba Angekuja tena katika siku za mwisho, Akisema: "Kwa kuwa kama vile umeme, umulikavyo toka upande mmoja chini ya mbingu, na kumulika upande mwingine chini ya mbingu; ndivyo atakavyokuwa Mwana wa Adamu katika siku yake. Lakini kwanza, ni lazima apate mateso mengi, na kukataliwa na kizazi hiki” (Luka 17:24-25). Kwa nini Bwana Yesu atakapokuja tena katika siku za mwisho “Atakataliwa na kizazi hiki”? Mungu alipoonekana mara mbili katika mwili kufanya kazi Yake kwa nini alikumbwa na uasi na shutuma kali na binadamu wapotovu? Je, unajua sababu katika hili? Video hii fupi itakufichulia jibu.

Ijumaa, 15 Novemba 2019

“Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari” – Kwa Nini Mafarisayo Wanampinga Mungu? | Swahili Gospel Film Clip 5/6

Mafarisayo wa dunia ya kidini wote wana maarifa nyingi ya Maandiko na wamemtumikia Mungu kwa miaka mingi, na bado hawatafuti na kuchunguza kuonekana na kazi ya Mungu mwenye mwili tu, lakini kinyume na hayo, wanahukumu vikali, kushutumu, na kupinga. Hili hakika ni la kushangaza! Hivyo kwa nini Mafarisayo wa dunia ya kidini wanamshutumu na kumpinga Mungu? Mungu anasema, "Wale wanaosoma Biblia kwa makanisa makubwa hukariri Biblia kila siku, lakini hakuna yeyote anayeelewa madhumuni ya kazi ya Mungu. Hakuna hata mmoja anayeweza kumwelewa Mungu; juu ya hayo, hakuna yeyote anayekubaliana na moyo wa Mungu." "Sababu kwamba mwanadamu humpinga Mungu inatoka, kwa upande mmoja, katika tabia potovu ya mwanadamu, na kwa upande mwingine, kutokana na kutomfahamu Mungu na kutoelewa kanuni za kazi ya Mungu na mapenzi Yake kwa mwanadamu. Vipengele hivi viwili vinaunganishwa katika historia ya upinzani wa mwanadamu kwa Mungu" (Neno Laonekana katika Mwili ).

Jumatatu, 11 Novemba 2019

“Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari” – Mungu Humtumiaje Shetani Kufanya Huduma | Swahili Gospel Film Clip 6/6

Mungu anasema, "Katika Mpango Wangu, Shetani amewahi ondoka katika kisigino cha kila hatua, na, kama foili ya hekima Yangu amejaribu siku zote kutafuta njia na namna ya kuvuruga mpango Wangu wa awali. Lakini Ningeweza kukabiliwa na miradi yake ya udanganyifu? Vyote mbinguni na duniani vinanitumikia—njama za udanganyifu za shetani zingeweza kuwa tofauti?