Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo unabii-wa-Biblia. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo unabii-wa-Biblia. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 22 Desemba 2019

“Kutoka kwa Kiti cha Enzi Hububujika Maji ya Uzima” – Mbona Kuna Ukiwa Ulioenea Pote katika Ulimwengu wa Dini? | Swahili Gospel Movie Clip 2/9


Dunia nzima ya dini kwa sasa inapitia njaa kubwa, hawapo tena pamoja na kazi ya Roho Mtakatifu au uwepo wa Bwana, wanafanya mambo maovu zaidi na zaidi na imani na huruma ya waumini inadhoofika na kuwa baridi. Aidha, maafa yanazidi kuwa mabaya zaidi na zaidi kote duniani, unabii kwamba Bwana angerudi katika siku za mwisho tayari umetimia. Hivyo, tunawezaje kutatua chanzo cha ukiwa wa makanisa kwa njia ambayo inawaruhusu wale ambao kweli wanaamini katika Mungu, ambao wanatamani kuonekana kwa Mungu kwa mara nyingine tena waje mbele za Mungu na kutembea kwenye njia ya wokovu? Hii video fupi itachunguza pamoja nawe jinsi ya kutatua tatizo hili la ukiwa wa makanisa.

Ijumaa, 6 Desemba 2019

Swahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya Biblia


Feng Jiahui na wazazi wake waliamini katika Bwana tangu alipokuwa mdogo. Alipokuwa na umri wa miaka 18 aliingia katika shule ya seminari, na katika miaka yake ya 30 akawa mhubiri katika kanisa la nyumba huko Shanxi, Uchina. Kwa miaka mingi, Feng Jiahui alidumisha imani madhubuti ya kuwa Biblia ilitiwa msukumo na Mungu, na kwamba lazima tuamini katika Mungu kwa mujibu wa Biblia. Aliamini kuwa hakukuwa na maneno yaliyonenwa na Mungu nje ya Biblia, na kwamba kuondoka kutoka kwa Biblia kutakuwa uzushi.

Ijumaa, 23 Machi 2018

Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, siku za mwisho,
Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?









Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?

Watu wengi hawaelewi ni kwa nini, kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa Bwana Yesu katika siku za mwisho, Bwana Yesu anaitwa Mwenyezi Mungu wakati Anapokuja kufanya kazi ya hukumu katika siku za mwisho. Kwa nini haendelei kuitwa Bwana Yesu? Kwa kweli, Mungu ana jina jipya kila wakati Anapofanya hatua moja ya kazi Yake. Jina hili jipya linachukuliwa na Mungu Mwenyewe kama inavyofaa kazi hii–siyo kitu ambacho watu humuita Yeye kama wanavyotaka. Jina analolichukua Mungu katika kila hatua ya kazi lina msingi wake katika Biblia. Jina la Bwana Yesu aliyerejea wa siku za mwisho lilitabiriwa zamani katika Biblia.