Jumanne, 31 Julai 2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Arubaini na Saba

Umeme wa Mashariki | Tamko la Arubaini na Saba

Ili kuwafanya wanadamu wawe wakomavu katika maisha na kuwafanya wanadamu na Mimi tuweze kutimiza matokeo katika udhanifu wetu wa pamoja, Nimewaendeka wanadamu kila mara, Nikiwakubalia kupata chakula na riziki kutoka kwa neno Langu na kupokea utele Wangu kutoka kwake. Sijawahi kuwapa wanadamu sababu ya kuaibika, lakini mwanadamu hafikirii hisia Zangu kamwe. Hii ni kwa sababu wanadamu hawana hisia na "hudharau" vitu vyote isipokuwa Mimi. Kutokana na dosari za wanadamu, Nawasikitikia sana na hivyo Nimefanya kila Niwezalo, ili waweze kufurahia utele wa dunia hadi kiasi cha kuiridhisha mioyo yao kwa wakati wao duniani. Simtendei mwanadamu bila haki na kwa kuzingatia watu walionifuata kwa miaka mingi, Nimekuwa na moyo wa huruma kwao. Ni kama kwamba Siwezi kujizuia kuweka mikono Yangu juu yao ili kufanya kazi Yangu.

Jumatatu, 30 Julai 2018

Umeme wa Mashariki | Watu Wasio na Hila Sio Lazima Wawe Waaminifu

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukweli,

Cheng Mingjie    Jiji la Xi'an, Mkoa wa Shaanxi

πŸ“–πŸ“–~~~*******~~~🌻🌻🌻~~~******~~~😘😘
Mimi hujiona kuwa mtu wa aina ya kuwa wazi na mchangamfu. Mimi huzungumza na watu kwa njia ya waziwazi; chochote ninachotaka kusema, mimi husema—mimi sio aina ya mtu wa kuzungukazunguka. Katika kuingiliana kwangu na watu mimi huwa ni mwaminifu na wazi kiasi. Mara kwa mara, mimi hudanganywa na kudhihakiwa kwa sababu ya kuwaamini wengine kwa urahisi. Ilikuwa tu baada ya kuanza kwenda kanisani nilipopata mahali ambapo ningepaita pangu. Nilijiwazia mwenyewe: Katika siku za nyuma kutokuwa na hila kwangu kumenifanya mwenye kuweza kudhuriwa na udanganyifu wa wengine;

Jumapili, 29 Julai 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote"


Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote"


Utambulisho


Kanisa la Mwenyezi Mungu |  neno la Mungu Nyimbo za Video | "Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote"

I
Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia,
unaanza kutenda wajibu wako.
Katika mpango na utaratibu wa Mungu, unachukua nafasi yako,
na unaanza safari ya maisha.
Vyovyote vilivyo msingi wako ama safari iliyo mbele yako,
hakuna anayeweza kuepuka utaratibu na mpango ambao Mbingu imeweka,
na hakuna aliye na amri juu ya hatima yake,
kwani ni Yule tu anayetawala juu ya vitu vyote ndiye ana uwezo wa kazi kama hii.

Jumamosi, 28 Julai 2018

Mungu Aliilinda Familia Yetu Wakati wa Maafa

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ushuhuda,

Mungu Aliilinda Familia Yetu Wakati wa Maafa

Wang Lan, Beijing
Agosti 6, Mwaka wa 2012
Mnamo Julai 21, mwaka wa 2012, mafuriko makubwa zaidi tangu miaka sitini yalipitia kijijini mwetu kwa nguvu mno. Maafa yalianguka kutoka mbinguni, maji ya mafuriko yalichanganya matope na mawe na kuharibu kijiji chote. Nyumba nyingi ziliharibiwa na maji na maporomoko ya matope.
Baada ya saa kumi na moja alasiri hiyo, mvua ilikuwa ikinyesha kwa nguvu sana. Kulikuwa na maji ya mafuriko na mawe makubwa yaliyoanguka kutoka juu ya nyumba yetu, na maji ya mafuriko yalikuwa makubwa mbele na nyuma ya nyumba yetu.

Ijumaa, 27 Julai 2018

Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Anayetawala Juu ya Vitu Vyote. | Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,

Sura ya 1 Lazima Ujue Kwamba Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Ambaye Aliumba Mbingu na Dunia na Kila kitu Ndani Yao

1. Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Anayetawala Juu ya Vitu Vyote.

Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote

Kama washiriki wa jamii ya binadamu na Wakristo wamchao Mungu, ni jukumu na wajibu wa sisi wote kutoa akili na mwili wetu kwa kutimiza agizo la Mungu, kwani uhai wetu wote ulitoka kwa Mungu, na upo kwa sababu ya ukuu wa Mungu. Kama akili zetu na miili yetu si kwa ajili ya agizo la Mungu na si kwa sababu ya kusudi la haki la mwanadamu, basi nafsi zetu hazina thamani kwa wale waliokufa kishahidi kwa ajili ya agizo la Mungu, na thamani ndogo zaidi kwa Mungu, aliyetupa kila kitu.

Alhamisi, 26 Julai 2018

1. Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Anayetawala Juu ya Vitu Vyote

Sura ya 1 Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Ambaye Aliumba Kila kitu

1. Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Anayetawala Juu ya Vitu Vyote

Maneno Husika ya Mungu:
Yote yaliyo duniani humu yanabadilika haraka sawasawa na mawazo ya Mwenye uweza, na chini ya macho Yake. Mambo ambayo wanadamu hawajawahi kuyasikia yanaweza kuja kwa ghafla, ilhali vitu ambavyo wanadamu wamemiliki kwa muda mrefu vinaweza kutoweka bila wao kujua. Hakuna anayeweza kutambua mahali alipo Mwenye uweza sembuse yeyote kuweza kuhisi kuzidi uwezo wa mwanadamu na ukuu wa nguvu za uzima za Mwenye uweza. Anazidi uwezo wa mwanadamu kwa vile Anavyoweza kufahamu yale ambayo wanadamu hawawezi. Yeye ni mkuu kwa vile ni Yeye anayekataliwa na wanadamu na bado Anawaokoa wanadamu.

Jumatatu, 23 Julai 2018

Umeme wa Mashariki | Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka(2)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, wokovu wa Mungu,

Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka(2)

Tong Xin    Mkoa wa Fujian
Kwa sababu ya maisha katika kanisa, nilielewa kwamba Mungu ni mtakatifu na mwenye haki, na kwamba Yeye huchukia zaidi uchafu na upotovu wa wanadamu. Nilifikiria njia chafu ambazo kwazo nilikuzwa katika jeshi na kwamba labda singeweza kuokolewa na Mungu kama singebadilisha tabia yangu ya zamani, hivyo nikaanza kusoma maneno ya Mungu kwa shauku, nikitumaini kuwa ningeweza kupata suluhisho ndani yayo. Siku moja, nilisoma maneno haya kutoka kwa Mungu: “Kwa sababu ya kuzaliwa katika nchi ya uchafu vile, mwanadamu ameagamizwa kabisa na jamii, amekuwa akishawishiwa na maadili ya kikabaila, na amefundisha katika ‘taasisi za elimu ya juu.’