Umeme wa Mashariki—kuonekana na kazi ya Mungu katika siku za mwisho limetikisa makundi na madhehebu yote, na kila aina ya wanadamu wamefichuliwa. Kondoo wengi wazuri katika kanisa wangependelea kuteseka kukamatwa kusikodhibitiwa na kuteswa na Chama cha Kikomunisti cha China ili tu kutafuta na kuchunguza Umeme wa Mashariki. Watu wengine, hata hivyo, wanaamini maneno ya wachungaji na wazee wa vna wanasisitiza kutochunguza Umeme wa Mashariki, huku wengine, licha ya kujua kikamilifu kwamba Umeme wa Mashariki linashuhudia ukweli, hawathubutu kutafuta wala kulichunguza kwa hofu ya kuteswa na Chama cha Kikomunisti cha China.
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Vita-vya-Kiroho. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Vita-vya-Kiroho. Onyesha machapisho yote
Jumatano, 25 Desemba 2019
Alhamisi, 12 Desemba 2019
"Mazungumzo" – Kwa nini CCP Huwafuatia na Kuwakandamiza Wakristo Sana? | Swahili Christian Video Clip 1/6
Katiba ya China hutamka kwa dhahiri uhuru wa dini, lakini kisirisiri, serikali hutumia rasilimali nyingi mno za binadamu na za kifedha kwa kuikandamiza imani ya dini na kuwatesa Wakristo kikatili. Hata hawajaacha kununua vifaa vya hali ya juu zaidi kuwafuatia, kuwafuma, na kuwakamata Wakristo. Serikali ya China imewanyang'anya raia wake haki ya uhuru wa imani na imewanyima kwa utundu haki ya kuishi. Kwa hiyo kwa kweli ni nini sababu na lengo la CCP kufanya yote haya?
Jumatano, 11 Desemba 2019
"Utamu katika Shida" – Mbinu ya Chama cha Kikomunisti cha China ya Kuwashurutisha Wakristo kwa Kutishia Familia Zao | Swahili Christian Testimony Video Clip 1/6
Ili kuwashurutisha Wakristo kulighilibu kanisa, wamsaliti Mungu na kuharibu nafasi zao za kuokolewa na Mungu, Chama cha Kikomunisti cha China kwa ufidhuli kinawatishia wanafamilia wa Wakristo na kutumia hisia za familia za Wakristo kuwashurutisha kumsaliti Mungu. Je, njama za Chama cha Kikomunisti cha China zinaweza kuendelea? Katika mapambano haya kati ya mema na mabaya, Wakristo watawezaje kumtegemea Mungu ili kushinda majaribu ya Shetani na kusimama imara na kuwa na ushuhuda kwa Mungu?
Jumamosi, 16 Novemba 2019
“Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari” – Kwa Nini Binadamu Humwasi Mungu? | Swahili Gospel Film Clip 4/6
Miaka elfu mbili iliyopita, Mungu alipopata mwili kama Bwana Yesu na kuja miongoni mwa wanadamu kuwakomboa binadamu Alikataliwa katika enzi ya giza, hatimaye kusulubiwa msalabani na binadamu waovu wenye upotovu. Bwana Yesu alitabiri kwamba Angekuja tena katika siku za mwisho, Akisema: "Kwa kuwa kama vile umeme, umulikavyo toka upande mmoja chini ya mbingu, na kumulika upande mwingine chini ya mbingu; ndivyo atakavyokuwa Mwana wa Adamu katika siku yake. Lakini kwanza, ni lazima apate mateso mengi, na kukataliwa na kizazi hiki” (Luka 17:24-25). Kwa nini Bwana Yesu atakapokuja tena katika siku za mwisho “Atakataliwa na kizazi hiki”? Mungu alipoonekana mara mbili katika mwili kufanya kazi Yake kwa nini alikumbwa na uasi na shutuma kali na binadamu wapotovu? Je, unajua sababu katika hili? Video hii fupi itakufichulia jibu.
Ijumaa, 15 Novemba 2019
“Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari” – Kwa Nini Mafarisayo Wanampinga Mungu? | Swahili Gospel Film Clip 5/6
Mafarisayo wa dunia ya kidini wote wana maarifa nyingi ya Maandiko na wamemtumikia Mungu kwa miaka mingi, na bado hawatafuti na kuchunguza kuonekana na kazi ya Mungu mwenye mwili tu, lakini kinyume na hayo, wanahukumu vikali, kushutumu, na kupinga. Hili hakika ni la kushangaza! Hivyo kwa nini Mafarisayo wa dunia ya kidini wanamshutumu na kumpinga Mungu? Mungu anasema, "Wale wanaosoma Biblia kwa makanisa makubwa hukariri Biblia kila siku, lakini hakuna yeyote anayeelewa madhumuni ya kazi ya Mungu. Hakuna hata mmoja anayeweza kumwelewa Mungu; juu ya hayo, hakuna yeyote anayekubaliana na moyo wa Mungu." "Sababu kwamba mwanadamu humpinga Mungu inatoka, kwa upande mmoja, katika tabia potovu ya mwanadamu, na kwa upande mwingine, kutokana na kutomfahamu Mungu na kutoelewa kanuni za kazi ya Mungu na mapenzi Yake kwa mwanadamu. Vipengele hivi viwili vinaunganishwa katika historia ya upinzani wa mwanadamu kwa Mungu" (Neno Laonekana katika Mwili ).
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)