Alhamisi, 14 Novemba 2019

Sura ya 9

Kwa sababu kwamba wewe ni mmoja wa watu nyumbani Mwangu, na kwa sababu wewe ni mwaminifu katika Ufalme wangu, kila unachofanya lazima kifikie viwango Ninavyohitaji Mimi. Sisemi kwamba uwe tu kama wingu linalofuata upepo, bali uwe kama theluji inayong’aa, na uwe na hali kama yake na hata zaidi uwe na thamani yake. Kwa sababu Nilitoka katika nchi takatifu, si kama yungiyungi, ambalo lina jina tu na halina dutu kwa sababu lilikuja kutoka katika matope na si kutoka nchi takatifu. Wakati ambapo mbingu mpya inashuka duniani na nchi mpya kuenea juu ya anga ndio pia wakati hasa ambao Ninafanya kazi kirasmi miongoni mwa binadamu. Ni nani kati ya wanadamu anayenijua Mimi? 

Jumatano, 13 Novemba 2019

Filamu za Kikristo "Wokovu" | Does Forgiveness of Sins Mean Full Salvation?

Filamu za Kikristo "Wokovu" | Does Forgiveness of Sins Mean Full Salvation?


Wokovu ni nini? Wale wanaoamini katika Bwana Yesu hufikiria kwamba ikiwa wataomba kwa dhati kwa Bwana, waungame dhambi zao, na kutubu, dhambi zao zitasamehewa, na watapewa wokovu, na Bwana Atakapokuja, wao watainuliwa moja kwa moja hadi katika ufalme wa mbinguni. Lakini je, wokovu kweli ni rahisi hivyo?

Jumanne, 12 Novemba 2019

Sura ya 8

Ufunuo Wangu unapofika kilele chake, na hukumu Yangu inapomalizika, utakuwa wakati ambapo watu Wangu wote wanafichuliwa na kufanywa wakamilifu. Nyayo Zangu hukanyaga kila pembe ya ulimwengu dunia katika hali ya kutafuta kwa kudumu wale wenye kupendeza moyo Wangu na wanafaa kwa matumizi Yangu. Nani anaweza kusimama na kushirikiana na Mimi? Upendo wa mwanadamu Kwangu ni mdogo mno na imani yake Kwangu ni ndogo ajabu. Kama sehemu kubwa ya maneno Yangu haingeelekezwa kwa udhaifu wa mwanadamu, angejigamba na kutia mambo chumvi, na angehubiri na kubuni nadharia zenye kuvutia, ni kama aliye na maarifa yote na anayejua yote kuhusu masuala duniani. Nani bado anathubutu kujigamba kati ya wale waliokuwa waaminifu Kwangu hapo awali, na ni nani ambaye leo hii anasimama imara mbele Yangu? Ni nani asiyefurahia matarajio yake mwenyewe kisiri? 

Jumatatu, 11 Novemba 2019

“Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari” – Mungu Humtumiaje Shetani Kufanya Huduma | Swahili Gospel Film Clip 6/6

Mungu anasema, "Katika Mpango Wangu, Shetani amewahi ondoka katika kisigino cha kila hatua, na, kama foili ya hekima Yangu amejaribu siku zote kutafuta njia na namna ya kuvuruga mpango Wangu wa awali. Lakini Ningeweza kukabiliwa na miradi yake ya udanganyifu? Vyote mbinguni na duniani vinanitumikia—njama za udanganyifu za shetani zingeweza kuwa tofauti? 

Jumapili, 10 Novemba 2019

Sura ya 7

Chanzo: Kanisa la Mwenyezi Mungu
Matawi yote ya magharibi yanapaswa kuisikiliza sauti Yangu:
Je, mmekuwa waaminifu Kwangu hapo awali? Je, mmeyatii maneno Yangu mazuri ya ushauri? Je, mna matumaini ambayo ni halisi na yasiyo na mashaka? Utiifu wa mwanadamu, upendo wake, imani yake—hamna kipatikanacho ila kutoka Kwangu, hamna hata kimoja ila kilichotolewa na Mimi. Enyi watu Wangu, myasikiapo maneno Yangu, je, mnaielewa nia Yangu? 

Jumamosi, 9 Novemba 2019

“Kutoka kwa Kiti cha Enzi Hububujika Maji ya Uzima” – Tofauti Kati ya Njia ya Toba na Njia ya Uzima wa Milele | Swahili Gospel Movie Clip 6/9

“Kutoka kwa Kiti cha Enzi Hububujika Maji ya Uzima” – Tofauti Kati ya Njia ya Toba na Njia ya Uzima wa Milele | Swahili Gospel Movie Clip 6/9


Bwana Yesu na Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja. Bwana Yesu hufanya kazi ya ukombozi, Yeye anahubiri njia ya toba. Mwenyezi Mungu wa siku za mwisho anafanya kazi ya hukumu ya kuwatakasa wanadamu, Yeye huleta njia ya uzima wa milele. Sasa, kama unataka kujua tofauti kati ya njia ya toba na njia ya uzima wa milele, tafadhali angalia hii video fupi.

Ijumaa, 8 Novemba 2019

“Kutoka kwa Kiti cha Enzi Hububujika Maji ya Uzima” – Jinsi ya Kupata Njia ya Uzima wa Milele | Swahili Gospel Movie Clip 8/9

“Kutoka kwa Kiti cha Enzi Hububujika Maji ya Uzima” – Jinsi ya Kupata Njia ya Uzima wa Milele | Swahili Gospel Movie Clip 8/9


Kwa maelfu ya miaka waumini wa Bwana wametaka kupata uzima wa milele, lakini hakuna mtu ambaye ameweza kutimiza matamanio haya. Sasa, umechanganyikiwa kuhusu kama kweli kuna njia ya uzima wa milele au la au umechanganyikiwa juu ya jinsi unavyoweza kufuatilia hili kwa njia ambayo utapata njia ya uzima wa milele? Hii video fupi itakuambia jinsi ya kupata njia ya uzima wa milele.