Jumamosi, 31 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Tisa

Umeme wa MasharikiTamko la Tisa

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa sababu kwamba wewe ni mmoja wa watu nyumbani Mwangu, na kwa sababu wewe ni mwaminifu katika Ufalme wangu, kila unachofanya lazima kifikie viwango Ninavyohitaji Mimi. Sisemi kwamba uwe tu kama wingu linalofuata upepo, bali uwe kama theluji inayong'aa, na uwe na hali kama yake na hata zaidi uwe na thamani yake. Kwa sababu Nilitoka katika nchi takatifu, si kama yungiyungi, ambalo lina jina tu na halina dutu kwa sababu lilikuja kutoka katika matope na si kutoka nchi takatifu. Wakati ambapo mbingu mpya inashuka duniani na nchi mpya kuenea juu ya anga ndio pia wakati hasa ambao Ninafanya kazi kirasmi miongoni mwa binadamu.

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ufalme,
Tamko la Kumi

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi

Enzi ya Ufalme ni, hata hivyo, tofauti na nyakati za kale. Haihusu kile anachofanya mwanadamu. Badala yake, Mimi binafsi Natekeleza kazi Yangu baada ya kushuka duniani—kazi ambayo wanadamu hawawezi kuelewa wala kufanikisha. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu mpaka leo, miaka hii yote daima imehusu kujenga kanisa, lakini hakuna mtu anayesikia kamwea kuhusu kujenga ufalme. Japokuwa Nazungumza kuhusu haya kwa kinywa Changu mwenyewe, yupo yeyote anayejua asili yake? Wakati mmoja Nilishuka kwenye ulimwengu wa binadamu Nikapitia na Nikaangalia kwa makini mateso yao lakini bila ya kutimiza lengo la kupata mwili Kwangu.

Ijumaa, 30 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Kupenya Ukungu ili Kuona Mwanga

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ushuhuda,
  Kupenya Ukungu ili Kuona Mwanga

Umeme wa Mashariki | Kupenya Ukungu ili Kuona Mwanga

Faith China
Mimi ni mfanyakazi wa kawaida. Mwishoni mwa Novemba, 2013, mfanyakazi mwenza aliona kwamba mke wangu na mimi tungefanya kelele nyingi sana juu ya vitu vidogo, kwamba kila siku tulikuwa na wasiwasi na huzuni, hivyo alipitisha kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku mwisho kwetu. Kutoka kwa neno la Mwenyezi Mungu, tumejifunza kwamba mbingu na dunia na vitu vyote viliumbwa na Mungu, na kwamba uhai wa mtu amekirimiwa na Mungu.

Baraka Kwa Sababu ya Ugonjwa —Insha Juu ya Upendo wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, wokovu,
Baraka Kwa Sababu ya Ugonjwa 


Baraka Kwa Sababu ya Ugonjwa —Insha Juu ya Upendo wa Mungu

Dujuan Japani
Nilizaliwa katika familia fukara katika kijiji cha mashambani. Tangu niwe mtoto, niliishi maisha magumu na nilidharauliwa na wengine. Wakati mwingine sikujua hata kama ningepata chakula changu cha kufuatia, sembuse kumbwe na vitu vya watoto kuchezea. Kwa kuwa familia yangu ilikuwa fukara, nilipokuwa mdogo, ningevaa nguo zilizokuwa zikivaliwa na dadangu mkubwa awali. Nguo zake mara nyingi zilikuwa kubwa sana kwangu. Kama matokeo, nilipoenda shuleni, watoto wengine wangenicheka na hawangecheza na mimi. Utoto wangu ulikuwa mchungu sana.

Alhamisi, 29 Machi 2018

Christian Video Swahili "Uaminifu ni wa Thamani Mno" | Wokovu wa Bwana


Christian Video Swahili "Uaminifu ni wa Thamani Mno" | Wokovu wa Bwana


Zhen Cheng alikuwa mmiliki wa duka la urekebishaji wa vifaa vya stima. Alikuwa mkarimu, mwaminifu, na alifanya biashara inavyopasa kufanywa. Hangejaribu kumdanganya mtu, lakini alikuwa anachuma tu pesa za kutosha angalau kuimudu tu famillia yake. Baada ya muda, mmoja wa jamaa yake na mfanya biashara mwenza alimhimiza atende kulingana na sheria zisizoandikwa za biashara, na Zhen Cheng alianza kuamini katika misemo inayowakilisha falsafa ya kama vile: "Mwanaume bila kipato cha pili hawezi kamwe kuwa tajiri kama tu jinsi farasi aliyenyimwa nyasi kavu usiku hawezi kamwe kuongeza uzani,” “Wajasiri hufa kwa ajili ya tamaa; waoga hufa kwa njaa," "Pesa si kila kitu, lakini bila pesa, huwezi kufanya chochote," na "Pesa kwanza."

Umeme wa Mashariki | Kuvunja Pingu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, kumjua Mungu,
Kuvunja Pingu

Umeme wa MasharikiKuvunja Pingu

Zhenxi Jijini Zhenzhou, Mkoani Hena
Miaka kumi iliyopita, nikiendeshwa na asili yangu ya kiburi, sikuweza kamwe kutii kikamilifu mipangilio ya kanisa. Ningetii ikiwa ilinifaa, lakini iwapo haingenifaa ningechagua iwapo ningetii au la. Hili lilisababisha kukiuka sana mipangilio ya kazi wakati wa kutimiza wajibu wangu. Nilifanya jambo langu mwenyewe na kuichukiza tabia ya Mungu, na hivyo baada ya hapo nilitumwa nyumbani. Baada ya miaka kadhaa ya kujitafakari, nilikuwa kwa kiwango fulani na maarifa ya asili yangu mwenyewe, lakini kuhusu kipengele cha ukweli ambacho ni kiini cha Mungu bado sikuwa na maarifa mengi.

Jumatano, 28 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Kutembea Katika Njia Ng’avu ya Maisha

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ushuhuda,
Kutembea Katika Njia Ng’avu ya Maisha

Umeme wa Mashariki | Kutembea Katika Njia Ng’avu ya Maisha

Xie Li, Marekani
Zamani nilikuwa mtu ambaye angefuata mitindo ya dunia, nilitaka kujiachilia kwa maisha ya anasa, na nilijali tu kuhusu anasa za mwili. Mara nyingi ningeenda na rafiki zangu kwa KTV usiku mzima, ningeenda matembezi kwa motokaa katikati ya usiku, ningeenda kuvua samaki katika bahari, na kusafiri pande zote nikitafuta vyakula vizuri. Ningeona wengine walionizunguka, na wao wote pia walikuwa wanajizatiti kula vizuri, kuvaa vitu vizuri, na kufurahia vitu vizuri.

Jumanne, 27 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Niliupata Mwanga wa Kweli

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Wokovu,



Niliupata Mwanga wa Kweli

Qiuhe, Japani
Nilizaliwa katika familia ya Kikatoliki. Tangu nilipokuwa mdogo, nilihudhuria Misa kanisani na babu na bibi yangu. Kutokana na ushawishi wa mazingira yangu na imani yangu kwa Mungu, nilijifunza kuimba maandiko mengi tofauti na kufanya kaida mbalimbali za dini.
Mnamo 2009, niliwasili Japani ili kusoma. Wakati mmoja, katika chumba cha bweni cha mwanafunzi mwenzangu, kwa bahati nilikutana na kiongozi wa kikundi kidogo cha Kikristo aliyekuja kueneza injili. Nilifikiri: Waprotestanti na Wakatoliki humwamini Mungu mmoja. Wote wawili huamini katika Bwana Yesu. Matokeo yake, nilikubali mwaliko wa kiongozi huyo wa kundi ndogo kujiunga naye kanisani.

Kuamini Uvumi ni Kupoteza Wokovu wa Mungu wa Siku za Mwisho

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, wokovu,
Kuamini Uvumi ni Kupoteza Wokovu wa Mungu wa Siku za Mwisho









Kuamini Uvumi ni Kupoteza Wokovu wa Mungu wa Siku za Mwisho

Wakati wowote wanaposikia mtu akizungumza juu ya injili ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, ndugu wengi wa kiume na wa kike kanisani wanashindwa kusikiliza na hawathubutu kukubali kile kinachosemwa kwa kuwa wameshtushwa na uvumi wa mihemko. Wanaweza kusikia mtu akisema: “Wale wanaomwamini Mwenyezi Mungu ni watu muhimu kweli, utadanganywa ukiwasiliana nao. Kuna waumini wengi wa kweli katika kila dhehebu la kidini na wana sifa nzuri za ndani, wao ni wanakondoo wanaopenda ukweli lakini wanaibwa na wanaomwamini Mwenyezi Mungu …” Au mtu fulani amesema: “Waumini wa Mwenyezi Mungu kwa kweli wana shauku kubwa juu ya kueneza Injili.

Jumatatu, 26 Machi 2018

Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Roho Mtakatifu,
Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki








Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Kila wakati Umeme wa Mashariki linapotajwa, ndugu wengi katika Bwana huhisi mafadhaiko: Ni kwa nini jumuiya ya kidini kwa ujumla huzidi kuhuzunika na kupotoka, wakati kila dhehebu linazidi kuwa na hadhari na kushikilia ukale katika kushutumu na kufukuza Umeme wa Mashariki, Umeme wa Mashariki halihuzuniki tu na kudhoofika, lakini linaendelea mbele kama mawimbi yasiyoweza kusimamishwa, likienea kote China Bara? Sasa kuwa hata limepanuka hata nje ya mipaka ya China hadi nchi za kigeni na maeneo, kama linavyokubaliwa na watu zaidi na zaidi duniani kote? Kama wamekabiliwa na ukweli huu, watu wa kidini wamefadhaika kabisa, huku kwa kweli sababu ni rahisi kabisa: Kile ambacho kila dhehebu la kidini linaita Umeme wa Mashariki ni Mwokozi Yesu aliyerudi wa siku za mwisho, akishuka kutoka mbinguni juu ya “wingu jeupe”; 

Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, wokovu,
Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?








Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Wafuasi wengi wa Bwana Yesu Kristo husikia kuhusu Umeme wa Mashariki kutoka kwa wachungaji wao, wazee wa kanisa, au wahubiri, lakini kwa hakika hakuna mtu anayejua Umeme wa Mashariki ulitoka wapi. Linapokuja suala la asili ya Umeme wa Mashariki, kila mtu ana maoni yake mwenyewe: Watu wengine wanaamini kuwa ni dhehebu jipya tu katika Ukristo, wengine huitweza kuwa “uasi” au “dhehebu bovu.” Watu wana mawazo haya ya upuuzi kwa sababu hawajui kazi ya Mungu.

Jumapili, 25 Machi 2018

Ni kwa Nini Ulimwengu wa Kidini Wenye Wayowayo kwa Hasira Unaipinga na Kuishutumu Kazi Mpya ya Mungu Daima?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, kumjua Mungu,
Ni kwa Nini Ulimwengu wa Kidini Wenye Wayowayo kwa Hasira Unaipinga na Kuishutumu Kazi Mpya ya Mungu Daima?








Ni kwa Nini Ulimwengu wa Kidini Wenye Wayowayo kwa Hasira Unaipinga na Kuishutumu Kazi Mpya ya Mungu Daima?

Mara mbili ambapo Mungu amepata mwili kutembea duniani na kufanya kazi ya kumwokoa mwanadamu Amekumbana na upinzani mkubwa, shutuma na mateso ya hasira kutoka kwa viongozi katika dunia ya kidini, ukweli ambao umewakanganya na hata kuwashtua watu: Ni kwa nini kila wakati Mungu anapoonyesha hatua ya kazi mpya Yeye daima hukumbana na aina hii ya utendewaji? Ni kwa nini wale ambao humpinga Mungu kwa hasira zaidi na ujeuri ni viongozi wa dini wanaosoma Biblia tena na tena na ambao wamemhudumia Mungu kwa miaka mingi? Ni kwa nini viongozi hao wa kidini ambao watu huona kuwa wacha Mungu zaidi, waaminifu zaidi na watiifu kwa Mungu kwa hakika hawawezi kulingana na Mungu, na badala yake daima wanatenda kwa ukaidi, na kuwa maadui wa Mungu?

Kwa nini Umeme wa Mashariki Hutapakaa Kwenda Mbele na Maendeleo Yasiyozuilika?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, hukumu,

Kwa nini Umeme wa Mashariki Hutapakaa Kwenda Mbele na Maendeleo Yasiyozuilika?









Kwa nini Umeme wa Mashariki Hutapakaa Kwenda Mbele na Maendeleo Yasiyozuilika?

Kristo wa siku za mwisho amekuwa akifanya kazi Yake nchini China kwa zaidi ya miaka 20, kazi ambayo imetetemesha makundi mbalimbali ya kidini kwa kina. Swali la kufadhaisha zaidi kwa jumuiya za kidini wakati huu limekuwa: Wachungaji wengi na wazee wa kanisa katika jumuiya ya kidini wamefanya liwezekanalo kuuhukumu na kuushambulia Umeme wa Mashariki kupitia njia mbalimbali kama vile kueneza uvumi kuhusu na kuukashifu Umeme wa Mashariki. Zaidi ya hayo, hata wamezingia makanisa yao na hata kuthubutu kushirikiana na serikali ya CCP kuwakamata na kuwatesa Wakristo katika Kanisa la Mwenyezi Mungu.

Jumamosi, 24 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Nguvu ya Maisha Ambayo Haiwezi Kuzimwa Kamwe

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ushuhuda,
Nguvu ya Maisha Ambayo Haiwezi Kuzimwa Kamwe



Umeme wa Mashariki | Nguvu ya Maisha Ambayo Haiwezi Kuzimwa Kamwe

Dong Mei, Mkoa wa Henan
Mimi ni mtu wa kawaida. Niliishi maisha ya kawaida. Kama wengi wanaotamani sana mwanga, nilijaribu njia nyingi kutafuta maana ya kweli ya uwepo wa wanadamu, nikijaribu kuyapa maisha yangu umuhimu zaidi. Mwishowe, juhudi zangu zote zilikuwa bure. Lakini baada ya kuwa na bahati ya kutosha kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, mabadiliko ya muujiza yalitokea katika maisha yangu. Yalileta rangi zaidi katika maisha yangu, na nilikuja kuelewa kwamba ni Mungu pekee ni Mtoa wa kweli wa roho na maisha ya wanadamu. Nilikuwa na furaha kwamba hatimaye nilikuwa nimepata njia sahihi ya maisha. Hata hivyo, huku nikitekeleza wajibu wangu wakati mmoja nilikamatwa kiharamu na kuteswa kikatili na serikali ya CCP. Kutoka kwa hili, safari ya maisha yangu ilipata uzoefu ambao kamwe sitasahau …

Je, Kanisa la Mwenyezi Mungu Lina Malengo Yapi?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Injili,
Je, Kanisa la Mwenyezi Mungu Lina Malengo Yapi?


Je, Kanisa la Mwenyezi Mungu Lina Malengo Yapi?

Kanisa la Mwenyezi Mungu hunyunyizia na kuwaongoza waumini wake kwa mujibu kamili wa maneno ya Mungu katika Biblia na Neno Laonekana Katika Mwili yanayoonyeshwa na Mwenyezi Mungu, ili kwamba kila muumini anaweza, chini ya uongozi, utolewaji, unyunyiziwaji, na uongozwaji wa maneno ya Mwenyezi Mungu, kuelewa ukweli wote katika maneno ya Mungu, kumiliki mtazamo sahihi juu ya maisha na maadili, kuwa na malengo sahihi ya kufuatilia, kufuata njia ya Mungu, kushikilia maagizo ya Mungu, kumtukuza Mungu kwa kuwa nuru na chumvi ya dunia, na kusifiwa na Mungu, na kuwa na sifa kamili kurithi ahadi za Mungu.

Ijumaa, 23 Machi 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu Lilikujaje Kuwepo?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa,
Kanisa la Mwenyezi Mungu Lilikujaje Kuwepo?


Kanisa la Mwenyezi Mungu Lilikujaje Kuwepo?

Kama makanisa ya Ukristo, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwepo kwa sababu ya kazi ya Mungu kupata mwili. Makanisa ya Ukristo yalipata kuwepo kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Bwana Yesu aliyepata mwili, na Kanisa la Mwenyezi Mungu lilipata kuwepo kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu mwenye mwili wa siku za mwisho. Hivyo, makanisa kotekote katika enzi yamefanyizwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mungu Aliyepata mwili. Kazi ya kila hatua ya kupata mwili kwa Mungu huonyesha ukweli mwingi, na watu wengi hupata kukubali na kufuata Mungu kwa sababu ya ukweli huu unaoonyeshwa na Mungu, hivyo ukisababisha makanisa. Kutokana na hili inaweza kuonekana kwamba makanisa huanzishwa kutoka kwa wale wanaoikubali kazi ya Mungu na kumfuata Mungu. Mikusanyiko hii ya wateule wa Mungu inaitwa makanisa.

Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, siku za mwisho,
Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?









Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?

Watu wengi hawaelewi ni kwa nini, kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa Bwana Yesu katika siku za mwisho, Bwana Yesu anaitwa Mwenyezi Mungu wakati Anapokuja kufanya kazi ya hukumu katika siku za mwisho. Kwa nini haendelei kuitwa Bwana Yesu? Kwa kweli, Mungu ana jina jipya kila wakati Anapofanya hatua moja ya kazi Yake. Jina hili jipya linachukuliwa na Mungu Mwenyewe kama inavyofaa kazi hii–siyo kitu ambacho watu humuita Yeye kama wanavyotaka. Jina analolichukua Mungu katika kila hatua ya kazi lina msingi wake katika Biblia. Jina la Bwana Yesu aliyerejea wa siku za mwisho lilitabiriwa zamani katika Biblia. 

Alhamisi, 22 Machi 2018

Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ushuhuda,
Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi

Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi

Yang Yi, Mkoa wa Jiangsu
Mimi ni Mkristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu. Nimekuwa mfuasi wa Mwenyezi Mungu kwa zaidi ya miaka kumi. Katika wakati huu, kitu kimoja ambacho sitawahi kusahau ni taabu mbaya sana nilipokamatwa na polisi wa CCP muongo mmoja uliopita. Wakati huo, licha ya mimi kuteswa na kukandamizwa na ibilisi waovu, na kuwa ukingoni mwa kifo mara kadhaa, Mwenyezi Mungu alitumia mkono Wake wa nguvu kuniongoza na kunilinda, kunirudisha kwa uhai, na kunipeleka kwa usalama…. Kupitia hili, kwa kweli nilipitia uvukaji mipaka na ukuu wa nguvu ya uhai wa Mungu, na kupata utajiri wa thamani wa maisha niliyotunikiwa na Mungu.

Jumatano, 21 Machi 2018

"Vunja Pingu na Ukimbie" (4) - Jifungue Kutoka kwa Utumwa wa Mafarisayo wa Kidini na Kurudi Kwa Mungu


"Vunja Pingu na Ukimbie" (4) - Jifungue Kutoka kwa Utumwa wa Mafarisayo wa Kidini na Kurudi Kwa Mungu


Utambulisho

 
Katika jumuiya ya kidini, wachungaji wanajua Biblia kwa kina na mara nyingi huelezea vifungu kutoka kwa Biblia kwa watu. Kutoka kwa macho yetu, inaonekana kuwa wote wanamjua Mungu, lakini kwa nini kuna watu wengi katika ulimwengu wa kidini ambao huilaumu na kuipinga kazi ya Mungu mwenye mwili ya siku za mwisho? Mwenyezi Mungu anasema, "Wale wanaosoma Biblia kwa makanisa makubwa hukariri Biblia kila siku, lakini hakuna yeyote anayeelewa madhumuni ya kazi ya Mungu. Hakuna hata mmoja anayeweza kumwelewa Mungu; juu ya hayo, hakuna yeyote anayekubaliana na moyo wa Mungu. Wote hawana thamani, wanadamu wabovu, kila mmoja akisimama juu kumfundisha Mungu. Ingawa wanalionyesha hadharani jina la Mungu, wanampinga makusudi" (Neno Laonekana katika Mwili).

"Vunja Pingu na Ukimbie" (3) - Enda Nje ya Biblia: Hudhuria Karamu ya Ufalme wa Mbinguni Pamoja na Bwana


"Vunja Pingu na Ukimbie" (3) - Enda Nje ya Biblia: Hudhuria Karamu ya Ufalme wa Mbinguni Pamoja na Bwana


Utambulisho


Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Biblia,
Vunja Pingu na Ukimbie
    Watu wengi ambao wana imani katika Bwana huhisi kwamba maneno na kazi ya Mungu vyote viko katika Biblia, kwamba wokovu wa Mungu kama ulivyoelezewa katika Biblia tayari umejaa, kwamba imani katika Mungu lazima iwe kwa msingi wa Biblia na kwamba kama imani yetu kwa Mungu ni kwa msingi wa Biblia, basi kwa hakika tutanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni. Dhana hizi za kidini hutenda kama kamba zisizoonekana ambazo huzifunga kwa uthabiti na kuzisonga fikira zetu kiasi kwamba hatuitafuti kazi ya Roho Mtakatifu na hutufanya tusiweze kuitii kazi ya sasa ya Mungu. Tunawezaje basi kuelewa uhusiano kati ya Biblia na Mungu na Biblia na kazi ya Mungu? Bwana Yesu alisema, “Na neno lake haliishi ndani yenu: kwani hammwamini yule aliyemtuma.

Jumanne, 20 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Kazi na Kuingia (4)

Umeme wa Mashariki | Kazi na Kuingia (4)

Mwenyezi Mungu alisema, Ikiwa mwanadamu anaweza kuingia kabisa kulingana na kazi ya Roho Mtakatifu, maisha yake yatachipuka haraka kama mmea wa mwanzi baada ya mvua ya majira ya kuchipua. Kwa kuangalia kimo cha sasa wa watu wengi, hakuna mtu hata mmoja anayetilia mkazo umuhimu wa uzima. Badala yake, watu wanaweka umuhimu katika baadhi ya mambo ya juujuu yasiyokuwa na umuhimu. Au wanakimbia huku na kule na kufanya kazi bila malengo na ovyoovyo bila mwelekeo, hawajui waende njia gani na zaidi kwa ajili ya nani. “Wanajificha wenyewe katika unyenyekevu.” Ukweli ni kwamba, ni wachache miongoni mwenu mnaojua makusudi ya Mungu kuhusu siku za mwisho. Ni wachache sana miongoni mwenu wanaojua nyayo za Mungu, na wachache zaidi wanajua utimilifu wa mwisho wa Mungu utakavyokuwa. Halafu kila mtu, kwa utashi tupu, anakubali kufundishwa nidhamu na kushughulikiwa na wengine, kana kwamba wanajitayarisha[1] na kusubiri siku ambayo hatimaye wamekwishaifanya na wanaweza kustarehe. Sitatoa maoni yoyote juu ya “maajabu” haya miongoni mwa watu, lakini kuna hoja moja ambayo wote mnapaswa kuielewa. Kwa sasa watu wengi wanaelekea katika hali isiyo ya kawaida,[2] hatua zao za kuingia tayari zinaelekea mwisho kabisa.[4] Pengine watu wengi wanafikiri kwamba mwanadamu anatamani “Shangri-La” (‘bonde la utulivu’), wakiamini kuwa ni “sehemu ya uhuru.” Kimsingi, sivyo ilivyo. Mtu anaweza kusema kwamba watu wamekwishapotoka tayari. Lakini bila kujali kile watu wanachokifanya, bado Nahitaji kuzungumza juu ya kile ambacho mwanadamu anapaswa kuingia ndani. Ustahilifu na kasoro za umati sio mada ya msingi ya majadiliano haya. Natumaini kwamba ndugu wote wataweza kupokea maneno Yangu kabisa na kwa usahihi na sio kuelewa visivyo nia Yangu.

Umeme wa Mashariki | Kazi na Kuingia (6)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, siku za mwisho,
Kazi na Kuingia (6)

Umeme wa Mashariki | Kazi na Kuingia (6)

Mwenyezi Mungu alisema, Kazi na kuingia kwa uhalisia ni vya kiutendaji na vinarejelea kazi ya Mungu na kuingia kwa mwanadamu. Mwanadamu kukosa kabisa uelewa juu ya sura halisi ya Mungu na kazi ya Mungu kumesababisha shida kubwa katika kuingia kwake. Leo hii, watu wengi bado hawajui kazi ambayo Mungu anatimiza katika siku za mwisho, au kwa nini Mungu Anastahimili fedheha kubwa kupita kiasi kuja katika mwili na kusimama na mwanadamu katika makovu na majonzi. Mwanadamu hajui chochote kuhusu lengo la kazi ya Mungu, wala kusudi la mpango wa Mungu kwa ajili ya siku za mwisho.

Jumatatu, 19 Machi 2018

"Vunja Pingu na Ukimbie" (2) - Je, Kila Kitu Kilicho Katika Biblia ni Neno la Mungu?


"Vunja Pingu na Ukimbie" (2) - Je, Kila Kitu Kilicho Katika Biblia ni Neno la Mungu?


Utambulisho


Kama watu wengi wa kidini wenye imani katika Bwana, Mzee Li daima amehisi kwamba "kila kitu kilicho katika Biblia kilitiwa msukumo na Mungu," "Biblia ni neno la Mungu," na "Biblia humwakilisha Mungu." Dhana hizi zilikuwa kwa muda mrefu zimeunda msingi wa imani yake. Zilikuwa zimekita mizizi ndani ya moyo wake na zilikuwa zimekuwa kikwazo kwa kujifunza kwake njia ya kweli na pia utumwa uliomzuia kukubali njia ya kweli. Wahubiri wa Kanisa la Mwenyezi Mungu waliposoma kwa subira kwa Mzee Li kuhusu neno la Mungu na kufanya ushirika naye kuhusu ukweli, hatimaye alielewa kuwa si Biblia yote iliyotiwa msukumo na Mungu, lakini ina maneno ya Mungu na maneno ya mwanadamu . Mzee Li sasa alikuwa huru kutoka kwa utumwa na pingu za dhana hizi za kidini.

"Vunja Pingu na Ukimbie" (1) - Legeza Pingu na Ujifunze Njia ya Kweli


Utambulisho

    Mzee wa kanisa Li, kutokana na imani pofu katika maneno ya wachungaji wa kidini, alihisi kwamba kazi na maneno yote ya Mungu yaliandikwa katika Biblia na kwamba chochote nje ya Biblia hakingeweza kuwa kazi na neno la Mungu. Li alifikiri kwamba yote aliyohitaji kufanya ni kushika Biblia na wakati Bwana angekuja tena, angenyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni. Kwa hiyo, Li hakuipa fikira kazi ya Mwenyezi Mungukatika siku za mwisho. Wakati mmoja, Mzee Li alipata kujua kwamba mfanyakazi mwenza, Mzee Lin, alikuwa akichunguza Umeme wa Mashariki kwa zaidi ya mwaka mmoja.

Jumapili, 18 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Kazi na Kuingia (8)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, wokovu,

Umeme wa Mashariki | Kazi na Kuingia (8)


Mwenyezi Mungu alisema, Nimezungumza mara nyingi sana kwamba kazi ya Mungu ya siku za mwisho ni kwa ajili ya kubadilisha roho ya kila mtu, kubadilisha nafsi ya kila mtu, ili kwamba moyo wake, ambao umeteseka sana na kiwewe, uwe umebadilishwa, hivyo kuokoa nafsi yake, ambayo imeumizwa kwa kina zaidi na Shetani; ni kwa sababu ya kuamsha roho za watu, kuyeyusha mioyo yao baridi, na kuwaruhusu kurudisha nguvu za ujana. Haya ndiyo mapenzi makubwa ya Mungu. Weka pembeni mazungumzo ya ni namna gani maisha na uzoefu wa mwanadamu ni ya kiburi au ya kina; mioyo ya watu itakapokuwa imeamshwa, wanapokuwa wameamshwa kutoka kwa ndoto zao na kujua kikamilifu madhara yaliyoletwa na joka kuu jekundu, kazi ya huduma ya Mungu itakuwa imekamilika. Siku ambayo kazi ya Mungu itakuwa imekamilika ni wakati ambapo mwanadamu ataanza rasmi njia ya imani sahihi kwa Mungu.

Umeme wa Mashariki | Kazi na Kuingia (7)

Umeme wa Mashariki, kumjua Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu,

Umeme wa Mashariki | Kazi na Kuingia (7)


Mwenyezi Mungu alisema, Imemchukua mwanadamu mpaka siku hii kutambua kwamba kile mtu anachokosa si tu kuruzukiwa maisha ya kiroho na uzoefu wa kumjua Mungu, lakini, muhimu zaidi, mabadiliko katika tabia yake. Kutokana na ujinga kamili wa mwanadamu wa historia na utamaduni wa kale wa wanadamu, hana ujuzi wa kazi ya Mungu hata kidogo. Mwanadamu hutumaini kuwa ndani kabisa ya moyo, mwanadamu anaweza kumpenda Mungu sana, lakini kwa sababu ya upotovu mkubwa mno wa mwili wa mwanadamu, pamoja na kutojali na upumbavu, mwanadamu ameshushwa kuwa asiye na ufahamu wa Mungu hata kidogo. Mungu Anakuja miongoni mwa wanadamu siku ya leo kwa kusudi la kubadilisha mawazo na roho zao, na taswira ya Mungu katika mioyo yao ambayo wamekuwa nayo kwa maelfu ya miaka.

Jumamosi, 17 Machi 2018

Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu,
Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja

Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja


Mwenyezi Mungu alisema, Mwanzoni, Mungu alikuwa anapumzika. Hakukuwa na binadamu ama kitu chochote kingine duniani wakati huo, na Mungu hakuwa amefanya kazi yoyote ile. Mungu alianza tu kazi Yake ya usimamizi baada ya binadamu kuwepo na baada ya binadamu kupotoshwa. Kutoka hapa kuendelea, Mungu hakupumzika tena lakini badala yake Alianza kufanya kazi miongoni mwa binadamu. Ilikuwa kwa sababu ya upotovu wa binadamu ndipo Mungu alichukuliwa kutoka kwa pumziko Lake, na ilikuwa pia kwa sababu ya uasi wa malaika mkuu ndipo Mungu alichukuliwa kutoka kwa pumziko Lake.

Umeme wa Mashariki | Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, hukumu,

Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu

Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu

Mwenyezi Mungu alisema, Mwanadamu anaelewa sehemu ndogo ya kazi ya leo na kazi ya baadaye, lakini hafahamu hatima ambapo mwanadamu ataingia. Kama kiumbe, mwanadamu anapaswa kutekeleza wajibu wa kiumbe: Mwanadamu anapaswa kumfuata Mungu kwa lolote afanyalo, na mnapaswa muendelee mbele kwa njia yoyote ambayo Nitawaambia. Wewe huna mbinu ya kufanya mipango yako mwenyewe, na huna uwezo wa kujitawala mwenyewe; yote ni lazima yaachwe kwa rehema za Mungu, na kila kitu kinadhibitiwa na mikono Yake. Kama kazi ya Mungu ilimkimu mwanadamu kwa kumpa hatima, hatima ya ajabu, kabla ya wakati, na kama Mungu alitumia hii kumshawishi mwanadamu na kusababisha mwanadamu kumfuata Yeye—kama Yeye alifanya mpango na mwanadamu—basi huu haungekuwa ni ushindi, wala haingekuwa kufanya kazi katika maisha ya binadamu.